Meko kajua kuwapoteza hawa njaa njaa wote wanaohamia kule, anakupa teuzi ukae kimya huko siku akikutumbua huna tena mtaji wa kisiasa ndani ya ccm ama upinzani na story yako inaishia hapo.Statement mbaya sana kwa Julius Mtatiro. Lazima aozee kule Namtumbo
Kubemenda ni wazazi kufanya mapenzi wakati mtoto bado ananyonya.Hilo neno "kubemenda" alilotumia Jaffo lina maana gani?
Ndo unajua leo?Huyu Mh hapo mbele ndio alikuwa mkuu wa wilaya, kwa picha hii huyu Mh alikuwa kitengo maalumu au?View attachment 1485952
A very good point......
Haya mavyeo Ni useless , Mimi mwenyewe nilikuwa private shirika Fulani, yaani Kila mtu anakuwa kijogoo maana anatoka HQ.......
Bosi Hana sauti............
Sisapoti cheo Cha Mkuu wa wilaya lakini ikibidi kiwepo Basi Mkuu wa mkoa angepaswa kuwaweka yeye Kama yeye......ili wamheshimu......
Na Mkurugenzi naye angekuwa muajiriwa tu kawaida. Asiteuliwe......
Shithole Country
..ni kijana wa zamani huyoOle Sendeka ni kijana?
Rc Million 6,Hivi ma-DC ,ma-RC na ma-DED wanakula mshahara kiasi gani kiasi cha watu kupagawa na uteuzi?
Hapo bila posho na mipango mingine ya kutumia imprest achilia mbali uchangishaji wanaofanya...Rc Million 6,
DC million 4
DeD Million 3.5
Tunduru, sio Namtumbo. [emoji3][emoji3]Statement mbaya sana kwa Julius Mtatiro. Lazima aozee kule Namtumbo
Kwa kweli Kama aliwafanyia wenzie hivi hakufanya vizuri.Kitendo cha aliyekuwa RC wa Arusha Mrisho Gambo kutaka aonekane ni mtu mwema huku akiwasiliba viongozi wenzake waonekane wabaya kwa hakika siyo jambo jema.
Kiukweli dhambi ikikomaa matokeo yake ndio haya, Gambo alianza na mbunge Lema lakini hatimaye kaondoka na DC na Mkurugenzi wa jiji huku akiwaacha RPC na Kamanda wa TAKUKURU wakikalia kuti kavu.
" Uswahili swahili" siyo mzuri kwenye uongozi.
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Ccm wote ni wale wale. Wote ni watoto wa baba na mama mmojaKwa kweli Kama aliwafanyia wenzie hivi hakufanya vizuri.
Well said. Ni maamuzi ya busara na hekima.johnthebaptist , kama kuna kitu kizuri kisichokuwa na hila ndani yake, Rais akikifanta nitakipongeza. Ishu ya msikiti na kiwanja cha wazi, uamuzi wa Rais kuwa tukiacha kila sehemu ya wazi ijengwe, basi na Azania Front itaombwa ijengwe.
Kwa hilo namsifu, uamuzi usiokuwa na hila! Akifanya zuri halina hila tutampongeza! Viwanja vya wazi viachwe wazi.