Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Statement mbaya sana kwa Julius Mtatiro. Lazima aozee kule Namtumbo
Meko kajua kuwapoteza hawa njaa njaa wote wanaohamia kule, anakupa teuzi ukae kimya huko siku akikutumbua huna tena mtaji wa kisiasa ndani ya ccm ama upinzani na story yako inaishia hapo.
 
Huyu Mh hapo mbele ndio alikuwa mkuu wa wilaya, kwa picha hii huyu Mh alikuwa kitengo maalumu au?
IMG-20200620-WA0018.jpeg
 
Naam. Amechukuwa mlinzi wake na kumpeleka kwa Gambo. Mlinzi anajiona yuko juu ya Gambo kwa vile ametoka Ikulu. Kwa kweli ni tatizo la kimfumo.
A very good point......

Haya mavyeo Ni useless , Mimi mwenyewe nilikuwa private shirika Fulani, yaani Kila mtu anakuwa kijogoo maana anatoka HQ.......

Bosi Hana sauti............

Sisapoti cheo Cha Mkuu wa wilaya lakini ikibidi kiwepo Basi Mkuu wa mkoa angepaswa kuwaweka yeye Kama yeye......ili wamheshimu......

Na Mkurugenzi naye angekuwa muajiriwa tu kawaida. Asiteuliwe......

Shithole Country
 
Hivi ma-DC ,ma-RC na ma-DED wanakula mshahara kiasi gani kiasi cha watu kupagawa na uteuzi?
 
Uyu rais Ni jembe sana . Ila nahisi anafeli kwenye swala la ajira. Employment creation policy. Na zani hii wizara iangaliwe vizuri. Nahisi anapewa takwimu ambazo si sahihi.
 
Kitendo cha aliyekuwa RC wa Arusha Mrisho Gambo kutaka aonekane ni mtu mwema huku akiwasiliba viongozi wenzake waonekane wabaya kwa hakika siyo jambo jema.

Kiukweli dhambi ikikomaa matokeo yake ndio haya, Gambo alianza na mbunge Lema lakini hatimaye kaondoka na DC na Mkurugenzi wa jiji huku akiwaacha RPC na Kamanda wa TAKUKURU wakikalia kuti kavu.

" Uswahili swahili" siyo mzuri kwenye uongozi.

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Kwa kweli Kama aliwafanyia wenzie hivi hakufanya vizuri.
 
Jambo kubwa Sana kwa serikali hii ya JPM ni kutoa nafasi kwa sisi vijana tuoneshe uwezo wetu wa kuwatumikia watanzania Viva MAGUFULI 2020-2025
 
johnthebaptist , kama kuna kitu kizuri kisichokuwa na hila ndani yake, Rais akikifanta nitakipongeza. Ishu ya msikiti na kiwanja cha wazi, uamuzi wa Rais kuwa tukiacha kila sehemu ya wazi ijengwe, basi na Azania Front itaombwa ijengwe.

Kwa hilo namsifu, uamuzi usiokuwa na hila! Akifanya zuri halina hila tutampongeza! Viwanja vya wazi viachwe wazi.
Well said. Ni maamuzi ya busara na hekima.
 
Back
Top Bottom