Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Kumbe ulikuwepo mbona wanasema Bonyai alifika kituoni akiwa hana sharti kwa kipigo? Sasa kama yeye ndio aliwapiga ilikuaje awe hana sharti yaani lichanike? Acha uongo kawadanganye watoto wako nyumbani kwako!
Walikuwa wanamvuta vuta shati sio Kinyonge babu. Jamaa aliwahenyesha sana
 
A
Tusipoona waliomuua Kibao wanakamatwa hicho kikao hakina maana,tusipoona mafwele anapandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutaka kumuua sativa kikao hakina maana,tusipoona waliotekwa na mafwele wanapelekwa mahakamni hicho kikao hakina maana.
Akili toka makalioni rudi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…