Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Chawa
Ulikuwepo? Huyu mama ametoka mioyoni mwetu tulio wengi.
Kuna maana gani ya kuongea nae wakati juzi amesha wapa maelekezo. Wewe chawa mwambie tumesha elewa kwamba hana tofsuti na yule alie sahau kuamka.
Hata yeye kuna siku ata lala asahau kuamka.
 
''Mazungumzo mazito sana'', ''Hotuba nzito sana'' ndo nini mbona taarifa yako ni ya kichawa chawa sana?
 
Ni haki yako na uhuru wako na nina wajibu wa kuheshimu na kulinda haki yako ya fikra na maoni. Kifuatacho ni nini wanajua wenyewe na dhima yao kwa umma wa nchi hii
 
Awamu hii wameafikiana atekwe nani?
 
Embu tulia huko.Mama yupo kazini muda wote.anaweza kumuita mtendaji yeyote yule wa serikali na muda wowote ule.
 
Tutalinda umoja, amani, demokrasia na utulivu wa wananchi waTanzania kwa gharama yoyote...

well done Amer Jeshi Mkuu 🌹
 
Bila shaka walikuwa wanakubaliana Kimkakati nani sasa afuatie baada ya Marehemu Mzee Kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…