Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Bila kukinukisha...CCM hawatakaa waelewe kwamba ni wepesi kama unyoya!
Nape, Dc Longido na Poti wote wanakiri michezo yao, frankly sion haja na mantiki ya elections, ni kuingia road kesho na iwe bila kukoma!
Alafu watachkua maamuzi ya sisi mabosi zao, sio interest zao za kijambazi jambazi!
 
Peleka ujinga wako huko. nenda uingie barabarani na familia yako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar.

Hii ni baada ya kupita siku chache kupita alipotoa hotuba nzito sana iliyoitikisa Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na watu mbalimbali Duniani Kwote.

Hii picha ni baada ya kumaliza Mazungumzo HayoView attachment 3101186.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Ninachokiona, atatafutwa mtekaji mmoja wa kafara atawekwa hadharani halafu basii..!!
 
Kama umepaniki na una hasira basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile na hakuna ambaye atasikitika😀😀😀
Nipanic wakati na enjoy maisha. Wewe jifanye ni mmoja wao tu lakini elewa kuwa huyo unayemshobokea hata akitoka madarakani anapewa ulinzi hadi mwisho wa uhai wake,kazi kwako na umeshaji expose kwa kutaka sifa. Kuwa na kiasi kwani hata hao beneficiaries wa mfumo hawashoboki kama wewe. Shauri yako kuwa na kiasi dunia duara hii.
 
Back
Top Bottom