Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Sikutishi ila nakwambia ukweli kuwa kama unataka kukiona cha mtema kuni basi peleka Pua yako barabarani
Kwani nyinyi ndio mtaishi milele? Jiwe na kiburi chake leo yuko wapi?

Kama mnafikiri vipigo vya polisi ndio vitarudisha watu nyuma, mjifunze kwa Mdude na SATIVA na wengineo wanaoendelea kupambana licha ya kupigwa sana na Polisi.

Kama vipigo vya Polisi ndio dawa, leo hii msome SATIVA katika mtandao wa X , msome Boniface, msome Godbless Lema, msome Mbowe, msome Mdude, Msome Martin Maranjav Masese, na wengineo wengi.

Mnaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Wala usiandike sana bali kama unajiamini sana basi Jumatatu ingia barabarani wewe na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…