Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.

Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.

Hii picha ni baada ya kumaliza Mazungumzo Hayo

View attachment 3101186

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
Anaji-clean,

Rais hana tatizo,ila kuna watu nahisi wanamshauria vibaya kwa baadhi ya mambo
 
Ndugu hawa Polisi ni Wase*** sana tena Mimi nawamaindi sana we ngoja tu. Nitakuja kufanya tukio la kitaifa na uwe unalili ripoti humu 🤣🤣🤣
Huna huo uwezo. Hata Bon Yai alijuwa alijuwa ni rahisi sana .lakini kilicho mpata hatakaa asahau.
 
Ndugu hawa Polisi ni Wase*** sana tena Mimi nawamaindi sana we ngoja tu. Nitakuja kufanya tukio la kitaifa na uwe unalili ripoti humu 🤣🤣🤣
Haki huinua taifa, acha hawa what called chawa wajione ni miamba, dhuruma wanayoifanya athari yake itawatesa hadi vizazi vyao.
 
Wauaji wanapanga kuua waandamanaji
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.

Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.

Hii picha ni baada ya kumaliza Mazungumzo Hayo

View attachment 3101186

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
 
Hata Gaddafi aliita watu mende, ila mwisho wa siku yeye ndio aligeuka mende.
Point yako ni nzuri sana ila umekosea ulipomquote brigedia mwenyewe gadafi. Na ukimuita huyu mwamba mende, basi bila shaka huelewi chochote kinachoendelea kwenye dunia ya sasa. Kujua kusoma na kuandika kusikupe audacity ya kuropoka juu ya vitu usivyovielewa kabisa. My literature teacher once told me "it is better to stay silent for people to think you're stupid, rather than talking only to prove them right." huyo mwamba ni kama magufuli 4
 
Tusipoona waliomuua Kibao wanakamatwa hicho kikao hakina maana,tusipoona mafwele anapandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutaka kumuua sativa kikao hakina maana,tusipoona waliotekwa na mafwele wanapelekwa mahakamni hicho kikao hakina maana.
KIbao alikuwa mstaafu wa Jeshi nafikiri alienda kinyume na kiapo chake si bure!
 
Back
Top Bottom