Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Twende kwenye balance. Inawezekana kabisa Lusinde yuko sawa, maana wengi tumekuwa tunaona upande wa pili tu, ZZK na CCM. Bila kubadirika, tuna safari sana ya kuokoa taifa hili>
Ameuliza sera ya UKAWA iko wapi na ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajiulize.
Ukawa wanaposema CCM imechoka wanakuja na data kutoka ndani ya report za CCM lakin akipanda ccm anakuja na chuki kumchukia mtu kutokana na umri eti slaa kachoka kwa sabab ni mzee, this is what? Ivi huyu Lusinde hakumbukii uongoz wa Mandela S.Africa??
Maneno mengine bhana, ndo maana kuna watu walihoji humu kuwa mbona kuna wengine waliingia kwenye uongozi wakiwa na kifafa na wamedumu kwenye nafasi zao mpaka leo!
Serikali za shirikisho hazijaanzia Tanzania, na inavyoelekea wengi bado hawajaelewa maana ya UKAWA, ukawa sio chama, ukawa ni ushirikiano wa vyama, na hili jambo la kila chama kuja na sera zake ni mtindo mbaya sana, tunatakiwa tuwe na sera za kitaifa, yaani tuwe na vipaumbele kama taifa ili chama kinapotawala kinaendeshwa kwa utashi wa taifa.
Twende kwenye balance. Inawezekana kabisa Lusinde yuko sawa, maana wengi tumekuwa tunaona upande wa pili tu, ZZK na CCM. Bila kubadirika, tuna safari sana ya kuokoa taifa hili>
Ameuliza sera ya UKAWA iko wapi na ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajiulize.
Hiyo kweli kabisa. Nchi haina kichwa wala miguu. Sasa ukiangalia kwa mbali utaona hata UKAWA ni CCM, maana hawana common understanding ya kimaendeleo zaidi ya kutaka kuiondoa CCM. Sasa mkifika huko mnafanya nini?
Hawajui....
Tumeongozwa na wagonjwa kwa miaka kumi..............Nukuu Lowassa............Ina maana kibajaji alikuwa hajui hili?
Huyu lusinde hata tofauti n mkundesimba istoshe huyu mzee wao afya yke mgogoro tu
Hiyo kweli kabisa. Nchi haina kichwa wala miguu. Sasa ukiangalia kwa mbali utaona hata UKAWA ni CCM, maana hawana common understanding ya kimaendeleo zaidi ya kutaka kuiondoa CCM. Sasa mkifika huko mnafanya nini?
Hawajui....
View attachment 251733
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.
Chanzo: RFA magazeti
Hahahaaaaaaaa.Rafiki umeniongezea siku ambazo na serikali hii ya CHICHIEMU kwa kweli sizihitaji.Asante lakini maana kastree ka kazi kamekimbia.