IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Kuna mtu ana picha ya hao watumishi wakati wakiwa Ikulu?

Gwajima, Lusekelo na huyo mwingine.
 
Kama ni umaarufu kidini wa kuitiwa Ikulu basi angewaita hata na Shehe Ponda na Kakobe. Ameanza kuwabembeleza wanao mpinga? Au ni kwa vile ndani ya nyumba #Membe kapiga chafya yeye makamasi yana churuzika?
Membe angalia utaua watu kwa kihoro!

Sheikh Ponda Na Askof Kakobe wote Ni wazaliwa wa Mpakani
 
Munakumbuka mulituambia Ndege zile injini zake kimeo zimeshika moto ndiyo maana zinaishia kumwagiwa maji?
tumewazoea kelele zenu
Hebu tuachie ushamba wako mkuu. Hiyo ni heshima kwa ndege hasa ituapo mahali kwa mara ya kwanza ndo humwagiwa maji (water salute).
 
Kama ni umaarufu kidini wa kuitiwa Ikulu basi angewaita hata na Shehe Ponda na Kakobe. Ameanza kuwabembeleza wanao mpinga? Au ni kwa vile ndani ya nyumba #Membe kapiga chafya yeye makamasi yana churuzika?
Membe angalia utaua watu kwa kihoro!

Haaahaaa...wanasiasa buana
 
Hivi hii miradi ina Baraka za bunge letu kweli? athari za madeni haya zikoje kwa taifa huko mbeleni? tuendako kunasikitisha.
 
RC tutamtuma Padri mmoja anatosha, maaskofu kwa hilo tukio ni kuwapotezea muda
 
Technology ya kujenga vitu kama hivyo Misri, nchi masikini kama sisis waliipata wapi?
Aswam ilijengwa na nani?
hadi leo ina miaka mingapi?
Jaribu kuficha ujinga wako basi.
 
Kati ya vitu ambavyo tutakuja kuvijutia siku zijazo ni pamoja na kukimbilia huu mradi wa Stiegler's gorge.!
Njia mwafaka kwa taifa letu ilikuwa ni kuwekeza kwenye umeme rafiki wa mazingira (jua/solar), upepo au gesi kama ambavyo ilifikiriwa na waliomtangulia JPM...
Anway; hata wanaopotea njia wana kiongozi wao!!
 
Aswam ilijengwa na nani?
hadi leo ina miaka mingapi?
Jaribu kuficha ujinga wako basi.
Aswam ilijengwa na warusi kwa mika 11, sisi tunataka kujenga karibu sawa na hilo kwa miezi 36 , chambua wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…