Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Oooh asante, huna ya Lusekelo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.Aswam ilijengwa na warusi kwa mika 11, sisi tunataka kujenga karibu sawa na hilo kwa miezi 36 , chambua wewe mwenyewe
Mahaba ya namna Hii ni hatari kwa afya yako mkuu!Gwajima , Mange, Mtatiro, Bado Nani Tena hajapiga goti?
Magu ana Upako wa hatare haijawahi tokea
Labda membeGwajima , Mange, Mtatiro, Bado Nani Tena hajapiga goti?
Magu ana Upako wa hatare haijawahi tokea
Gwajima ameisha sahau director wa muvi ya shilawadu, ambayo imepelekea Ruge yuko kitandani. Binadamu tu wanafiki sanaGwajima hanaga undugu wa kudumu ndo tatzo
HiyoOooh asante, huna ya Lusekelo?
Hivi ile barabara ya lami aliyoahidiwa kwenda Kanisani kwake ilishajengwa?Lusekelo!! Hapana nashangaa kwa kuwa nampenda sana yule mzee.
Namheshimu.
Umemsahau jasusi Uchwara ChahaliGwajima , Mange, Mtatiro, Bado Nani Tena hajapiga goti?
Magu ana Upako wa hatare haijawahi tokea
Alishatulizwa zamani sanaPengo katoswa leo ?
Umemsahau jasusi Uchwara Chahali
Kwanini mkuu...!!??Sidhan kama mungu anasikiliza maombi ya wale wachungaji !!
Need I say more? Well-articulated mzee.Ubaya wa raia wa nchi ya kusadikika hawajui wanachokitaka, hawaelewi vipaumbele vyao... "mradi wa stiglers gorge wa nini?? Mara ohoo ndege za nini?? Mara eheee SGR ya faida gani?? Waulize mnataka serikali ifanye nini?? Hawana majibu yenye hoja. Wanasubiri DADA MANGE au TUNDU LISSU aseme nao wadandie hoja hapo hapo, wasadikia ifike mahala ubongo tuufikirishe kabla ya kuongea, panapo kupongeza tupongeze, panapo kukosoa tukosoe kwa hoja pia. Hutaki SGR serikali ifanye nini?? Hutaki ST GORGE serikali ifanye nini?? Ujuaji wa mitandaoni hautatupeleka popote
Tumia akili kidogo, lini umeambiwa rufiji maji yamekauka??anasain yeye au katibu mkuu ujenzi,
Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine
Ataulia kupitia wapi kamanda? Labda naye aingie dili na Mwenyekiti tumuuzie chama ikifika 2020.Kama ni umaarufu kidini wa kuitiwa Ikulu basi angewaita hata na Shehe Ponda na Kakobe. Ameanza kuwabembeleza wanao mpinga? Au ni kwa vile ndani ya nyumba #Membe kapiga chafya yeye makamasi yana churuzika?
Membe angalia utaua watu kwa kihoro!
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo leo Jumatano Desemba 12, 2018 wameungana na Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam
Soma zaidi hapa: Lusekelo, Gwajima, Mwingira waungana na Magufuli Ikulu View attachment 965810
shushushu atiVipi tena kuna ubaya ? mbona unamshanga Lusekelo?
Hivi ile barabara ya lami aliyoahidiwa kwenda Kanisani kwake ilishajengwa?
Kuna kitu ambacho ulisha wahi kumpongeza rais Jpmanasain yeye au katibu mkuu ujenzi,
Mabwawa ya kidatu,mtera yamekauka,mabadiliko ya tabia nchi,bado mtu anaamini umeme wa maji,umeme wa gesi unatumika asilimia kumi,unakopa tena kujenga mradi mwingine