Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Alikuwepo piaPengo katoswa leo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwepo piaPengo katoswa leo ?
Kwahiyo ujinga unaoandika humu kila siku unamwandikia nani?Unajisumbua kuwa elimisha chadrama mcharuko mizee ya matukio
Achana nayo, tupa kuleeee
Uzuri wa JF una kumbukumbu tuombeane maisha nitakukumbusha baada ya miezi 36, na acha uwongo aswan ilijengwa na wasovieti, shule hukusoma wewe tuu na sisi tumesoma, shwineKijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.
Aswan dam imejengwa na Mainjinia 25000 ambao ni Wamisri chini ya uongozi wa Osman Ahmed mkuu wa kampuni ya Arab contractors,Wasovieti walitoa baadhi machines and few technicians.
Kuhusu kutumia muda mrefu ni kwasababu ya nature ya eneo walipojenga eneo hilo ambapo kuliitajika kujengwa kwa mifumo mikubwa ya uvutaji na uhifadhi maji hapa iliwalazimu kujenga Nasser artificial lake, pia uwepo wa clay ulichangia uchelewaji wa mradi huo.
Kumbuka kampuni iliyojenga Aswan dam(Arab contractors) ndiyo inajenga mradi wetu.
Kumbuka hadi leo Aswan dam ina miaka 48, kama waliweza miaka hiyo ya 1970 watashindwaje leo?
Halafu punguzeni ujuaji wa kipumbavu mainjinia wanasema watajenga kwa miezi 36 halafu wewe mtu umekaa kijiweni unapinga,Ndugu unafikiri wao wanasema hivyo bila kufanya uchunguzi?
Kwa taarif yako mimi nimesoma misri, uzalishaji wa aswan dam no2 umepungua kwa asilimia 65 kwa sababu ya siltation matumizi ya umeme kwa asilimi 94, nasema tena 94 ni gas , ambayo sisi tunaiponda waziwazi leo ni asilimi 5 tuu ya umeme wa dam ya aswan unatumika misri, wewe soma gazeti la tanzanite, hujui kitu, mnatuumiza na madeni yatalipwa hata na vitukuu vya watoto wetu. Na ninakwambia kwa strucure ya stiegler gorge ujenzi utatumia miak 10 ,na miala mitano mingine kulijaza bwawa, tukana, kataaa, tukana, mpaka uugue bawasiri lakini huu ni ukweli na kumbukumbu sitakuwepoKijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.
Aswan dam imejengwa na Mainjinia 25000 ambao ni Wamisri chini ya uongozi wa Osman Ahmed mkuu wa kampuni ya Arab contractors,Wasovieti walitoa baadhi machines and few technicians.
Kuhusu kutumia muda mrefu ni kwasababu ya nature ya eneo walipojenga eneo hilo ambapo kuliitajika kujengwa kwa mifumo mikubwa ya uvutaji na uhifadhi maji hapa iliwalazimu kujenga Nasser artificial lake, pia uwepo wa clay ulichangia uchelewaji wa mradi huo.
Kumbuka kampuni iliyojenga Aswan dam(Arab contractors) ndiyo inajenga mradi wetu.
Kumbuka hadi leo Aswan dam ina miaka 48, kama waliweza miaka hiyo ya 1970 watashindwaje leo?
Halafu punguzeni ujuaji wa kipumbavu mainjinia wanasema watajenga kwa miezi 36 halafu wewe mtu umekaa kijiweni unapinga,Ndugu unafikiri wao wanasema hivyo bila kufanya uchunguzi?
kusoma Misri sio sababu ya kujua kila kitu, kuhusu ujenzi wa Aswan huwezi kunidanganya kitu ni sawa na kusema hosteli za udsm zimejengwa na Wachina kisa tu TBA imeajiri baadhi ya wachina kwenye mradi huo.Kwa taarif yako mimi nimesoma misri, uzalishaji wa aswan dam no2 umepungua kwa asilimia 65 kwa sababu ya siltation matumizi ya umeme kwa asilimi 94, nasema tena 94 ni gas , ambayo sisi tunaiponda waziwazi leo ni asilimi 5 tuu ya umeme wa dam ya aswan unatumika misri, wewe soma gazeti la tanzanite, hujui kitu, mnatuumiza na madeni yatalipwa hata na vitukuu vya watoto wetu. Na ninakwambia kwa strucure ya stiegler gorge ujenzi utatumia miak 10 ,na miala mitano mingine kulijaza bwawa, tukana, kataaa, tukana, mpaka uugue bawasiri lakini huu ni ukweli na kumbukumbu sitakuwepo
Najua nimekutana na kilaza mwingine, kila kitu mimi mimi, lete facts za kupinga mnatudanganya hata bei za umeme w nchi kwa nchi, mimi shida yngu kujua najua, najiuliza kwa nini tuseme uwongo tunamdanganya nani? Tatizo langu ni hapo tuukusoma Misri sio sababu ya kujua kila kitu, kuhusu ujenzi wa Aswan huwezi kunidanganya kitu ni sawa na kusema hosteli za udsm zimejengwa na Wachina kisa tu TBA imeajiri baadhi ya wachina kwenye mradi huo.
Narudia tena watafute madogo wa kuwadanganya sio mimi.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] vijana wengi wanaumbea wa fb wanaleta mpaka GT forums pia vichwani mwao ni weupe kinyama [emoji122] [emoji122]Kijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.
Aswan dam imejengwa na Mainjinia 25000 ambao ni Wamisri chini ya uongozi wa Osman Ahmed mkuu wa kampuni ya Arab contractors,Wasovieti walitoa baadhi machines and few technicians.
Kuhusu kutumia muda mrefu ni kwasababu ya nature ya eneo walipojenga eneo hilo ambapo kuliitajika kujengwa kwa mifumo mikubwa ya uvutaji na uhifadhi maji hapa iliwalazimu kujenga Nasser artificial lake, pia uwepo wa clay ulichangia uchelewaji wa mradi huo.
Kumbuka kampuni iliyojenga Aswan dam(Arab contractors) ndiyo inajenga mradi wetu.
Kumbuka hadi leo Aswan dam ina miaka 48, kama waliweza miaka hiyo ya 1970 watashindwaje leo?
Halafu punguzeni ujuaji wa kipumbavu mainjinia wanasema watajenga kwa miezi 36 halafu wewe mtu umekaa kijiweni unapinga,Ndugu unafikiri wao wanasema hivyo bila kufanya uchunguzi?
Aandishi ya magazeti ya egypt leo wanasema muda wa ujenzi ni miezi 42, tanzania 36months ipi na ipi,sisi tuna asilimia 0 tuu ya ownership, yaaani balaa mradi umeuzwaKijana, kijana tafuta madogo wa kuwadanganya sio mimi.
Aswan dam imejengwa na Mainjinia 25000 ambao ni Wamisri chini ya uongozi wa Osman Ahmed mkuu wa kampuni ya Arab contractors,Wasovieti walitoa baadhi machines and few technicians.
Kuhusu kutumia muda mrefu ni kwasababu ya nature ya eneo walipojenga eneo hilo ambapo kuliitajika kujengwa kwa mifumo mikubwa ya uvutaji na uhifadhi maji hapa iliwalazimu kujenga Nasser artificial lake, pia uwepo wa clay ulichangia uchelewaji wa mradi huo.
Kumbuka kampuni iliyojenga Aswan dam(Arab contractors) ndiyo inajenga mradi wetu.
Kumbuka hadi leo Aswan dam ina miaka 48, kama waliweza miaka hiyo ya 1970 watashindwaje leo?
Halafu punguzeni ujuaji wa kipumbavu mainjinia wanasema watajenga kwa miezi 36 halafu wewe mtu umekaa kijiweni unapinga,Ndugu unafikiri wao wanasema hivyo bila kufanya uchunguzi?
Kijana unajua maana ya stake?Aandishi ya magazeti ya egypt leo wanasema muda wa ujenzi ni miezi 42, tanzania 36months ipi na ipi,sisi tuna asilimia 0 tuu ya ownership, yaaani balaa mradi umeuzwa
“The dam will become a major source of water and the cheap electricity to be produced from the dam will reduce the number of people who cut trees for firewood,” he said.
Arab Contractors will hold a 55 percent stake in the project and El Sewedy 45 percent, El Sewedy said. It expects the project to take 42 months and production to start by April 2022.
jamaa ananitishia eti amesoma Misri halafu anataka kunidanganya live mambo ninayoyajua.[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] vijana wengi wanaumbea wa fb wanaleta mpaka GT forums pia vichwani mwao ni weupe kinyama [emoji122] [emoji122]
Hahaha haya mimi sijui, hebu nijuze 45% stake maana yake nini?Kijana unajua maana ya stake?
Unajua vigezo vya kushinda zabuni?
Eti mradi umeuzwa, unatia huruma ujue!
Jaribu kuuliza maana ya stake ukishajua maana ya hilo neno utaelewa content nzima.
Tupe mrejesho wa gesi, tushaanza kutumia au bado? Maana tuliambiwa kwa gas basi tumemaliza shida zote za umeme!Mkuu mimi nakuheshimu sana. Lakini naomba at times uwe objective.
Kuna sehemu serikali inafanya madudu na ni haki yetu kuikosoa kama tunavyofanya humu kila siku. Lakini hebu tuwe wakweli kidogo, tunaweza kupinga juhudi za kuwa na umeme wa uhakika kusukuma gurudumu la maendeleo yetu mbele?
Yes, najua kuna nadharia nyingi hapa (mradi huu ni mkubwa, pesa hatuna, tungewekeza kwenye umeme wa maji, umeme wa gesi, upepo na mengine mengi!). Lakini Ukweli ni kwamba tunahitaji umeme. Sijaona juhudi za watangulizi wa jiwe kutupa umeme wa uhakika kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru. Kila kitu ni ujanja ujanja tuu....(refer akina net group, akina Rugemarila nk). Kama huu ndo mradi utatupa umeme, tumsupport JPM!
Tusiwe watu wa kupinga kila kitu..Tunapoteza maana ya neno lenyewe na mwisho wa siku..hata mtu ukipinga kitu cha maana unaonekana ni yule yule.
Umeme ni muhimu kwa maendeleo ya taifa!