Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadhani maendeleo ya nchi yanashuka Kama mvuaAkili kisoda huyo mtu awaulize wahispaniol usipolipa kodi
Nchi gani ilikufa kibiashara kwa ajili ya kutoza Kodi? Na chanzo Cha Kodi, ukiacha Kodi za kiajria, SDL, PAYE and likes, Ni Kipi zaidi ya biashara?Too much taxation inaua biashara na haijengi nchi.
Jenga nchi yako kwa Kodi zako. Unadhani Lowassa angepata wapi fedha ya kujenga miradi ya maendeleo?
Nyinyi endeleeni kubakia na akili zenu zinazokubali kushindwa kwenye kila jambo.Hayo yote uliyoyasema tuliyasikia kwenye gesi, nothing new.
Huu mradi na reli ni lazima labda upigie kelele mingine.Hii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi hii mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka/biashara nyingi zinafungwa.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Kamati ya Bunge ya Bajeti yahofia makusanyo yote ya serikali kutumika kuhudumia deni la Taifa, yataka kuwe na ukomo wa kukopa - JamiiForums
Serikali hii ina majukumu mengi zaidi ya
kujenga miundombinu na hazina yetu ni hiyo hiyo moja na ili tusonge mbele, ni lazima tutoe kipaumbele na kwa sekta nyingine maana zinategemeana.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Soma hapa:Nyinyi endeleeni kubakia na akili zenu zinazokubali kushindwa kwenye kila jambo.
Ukiyataka maendeleo huwezi kukwepa gharama. Kuna mambo ya msingi tulikuwa hatuyafanyi, na yana gharama kubwa.
Hydro ni cheap Sawa maana si unatumia maji kwenda kusukuma yale mamitambo mafuta hutumi kwa kiasi kikubwa sana mafuta inatumia ku lubricant mamashine...Kati ya vitu ambavyo tutakuja kuvijutia siku zijazo ni pamoja na kukimbilia huu mradi wa Stiegler's gorge.!
Njia mwafaka kwa taifa letu ilikuwa ni kuwekeza kwenye umeme rafiki wa mazingira (jua/solar), upepo au gesi kama ambavyo ilifikiriwa na waliomtangulia JPM...
Anway; hata wanaopotea njia wana kiongozi wao!!
Hao ndio watoto waliozaliwa baada ya Mwalimu Nyerere kuwa ameshafariki. Watoto wa selfie wa miaka hii ya sasa.Aswam ilijengwa na nani?
hadi leo ina miaka mingapi?
Jaribu kuficha ujinga wako basi.
Hii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi hii mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka/biashara nyingi zinafungwa.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Fungua hii link hapa chini uone ni wapi hii mikopo inakotupeleka kama Taifa.
Kamati ya Bunge ya Bajeti yahofia makusanyo yote ya serikali kutumika kuhudumia deni la Taifa, yataka kuwe na ukomo wa kukopa - JamiiForums
Serikali hii ina majukumu mengi zaidi ya
kujenga miundombinu na hazina yetu ni hiyo hiyo moja na ili tusonge mbele, ni lazima tutoe kipaumbele na kwa sekta nyingine maana zinategemeana.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Ukweli mchungu sana KakaUmekosa la kuponda ukaona bora uongee tu hvyo
Nakushauri penda nchi yko na jarb kutumia akili kwenye kujua mazr na mabaya
Walienda kumuombea.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
HiyoKuna mtu ana picha ya hao watumishi wakati wakiwa Ikulu?
Gwajima, Lusekelo na huyo mwingine.