IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Nasema chochea kuni membe lumumba pabakie majivu tu
 
Gwajima alisema ataomba kutumi reli hiyo kupeleka waumini wake kwenye mji wa mwanakondoo. Alisema watu watapanda bure gari moshi hilo la stima a.k.a umeme
 
Uzuri wa JF una kumbukumbu tuombeane maisha nitakukumbusha baada ya miezi 36, na acha uwongo aswan ilijengwa na wasovieti, shule hukusoma wewe tuu na sisi tumesoma, shwine
 
Kwa taarif yako mimi nimesoma misri, uzalishaji wa aswan dam no2 umepungua kwa asilimia 65 kwa sababu ya siltation matumizi ya umeme kwa asilimi 94, nasema tena 94 ni gas , ambayo sisi tunaiponda waziwazi leo ni asilimi 5 tuu ya umeme wa dam ya aswan unatumika misri, wewe soma gazeti la tanzanite, hujui kitu, mnatuumiza na madeni yatalipwa hata na vitukuu vya watoto wetu. Na ninakwambia kwa strucure ya stiegler gorge ujenzi utatumia miak 10 ,na miala mitano mingine kulijaza bwawa, tukana, kataaa, tukana, mpaka uugue bawasiri lakini huu ni ukweli na kumbukumbu sitakuwepo
 
Wimbo wa bei ya umeme kushika ni wa muda mrefu sana lakini haijawahi kutokea. Tuliambiwa gas ikikamilika bei ya umeme itashuka lakini mpaka leo haijulikani utajiri wa gas umeishia wapi?
 
kusoma Misri sio sababu ya kujua kila kitu, kuhusu ujenzi wa Aswan huwezi kunidanganya kitu ni sawa na kusema hosteli za udsm zimejengwa na Wachina kisa tu TBA imeajiri baadhi ya wachina kwenye mradi huo.
Narudia tena watafute madogo wa kuwadanganya sio mimi.
 
Najua nimekutana na kilaza mwingine, kila kitu mimi mimi, lete facts za kupinga mnatudanganya hata bei za umeme w nchi kwa nchi, mimi shida yngu kujua najua, najiuliza kwa nini tuseme uwongo tunamdanganya nani? Tatizo langu ni hapo tuu
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] vijana wengi wanaumbea wa fb wanaleta mpaka GT forums pia vichwani mwao ni weupe kinyama [emoji122] [emoji122]
 
Angalia cost ya umeme egypt na kilichoandikwa hpo juu, swali liko pale pale kwa nini tunasema uwongo
 
Aandishi ya magazeti ya egypt leo wanasema muda wa ujenzi ni miezi 42, tanzania 36months ipi na ipi,sisi tuna asilimia 0 tuu ya ownership, yaaani balaa mradi umeuzwa



“The dam will become a major source of water and the cheap electricity to be produced from the dam will reduce the number of people who cut trees for firewood,” he said.

Arab Contractors will hold a 55 percent stake in the project and El Sewedy 45 percent, El Sewedy said. It expects the project to take 42 months and production to start by April 2022.
 
Kijana unajua maana ya stake?
Unajua vigezo vya kushinda zabuni?
Eti mradi umeuzwa, unatia huruma ujue!
Jaribu kuuliza maana ya stake ukishajua maana ya hilo neno utaelewa content nzima.
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] vijana wengi wanaumbea wa fb wanaleta mpaka GT forums pia vichwani mwao ni weupe kinyama [emoji122] [emoji122]
jamaa ananitishia eti amesoma Misri halafu anataka kunidanganya live mambo ninayoyajua.
 
Kijana unajua maana ya stake?
Unajua vigezo vya kushinda zabuni?
Eti mradi umeuzwa, unatia huruma ujue!
Jaribu kuuliza maana ya stake ukishajua maana ya hilo neno utaelewa content nzima.
Hahaha haya mimi sijui, hebu nijuze 45% stake maana yake nini?
 
Tupe mrejesho wa gesi, tushaanza kutumia au bado? Maana tuliambiwa kwa gas basi tumemaliza shida zote za umeme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…