IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Unajisumbua kuwa elimisha chadrama mcharuko mizee ya matukio
Achana nayo, tupa kuleeee
 
Lakini kweli wamisri wanatechnolojia ya kujenga Mabwawa au tunaenda kupiga hasara hapa?
 
Kwa mara ya kwanza, nimemwona Wachungaji Gwajima, Mwingira na Mzee wa Upako wakiwepo eneo moja. Maombi yao ni faraja kwa Watanzania wapenda Nchi yao na wapenda maendeleo. Mungu atubariki sana Watanzania.
 
Binafsi mm nimekuelewa mkuu
 
Kila la kheri
Tunajitaji umeme angalau tutalala ndani ys nyimba zetu joto litapungua
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
 
Kwa hili nalo Rais Magufuli ,anaweka historia katika nchi hii

Mungu Mbariki Rais Magufuli

Mungu ibariki Tanzania
 
kama mzalendo peleka hoja sehemu husika kabla ya muda kuisha na watu kuanza kazi au mwajika hapa si kifichoficho kama ulivyosema
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Technology ya kujenga vitu kama hivyo Misri, nchi masikini kama sisis waliipata wapi?
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.

Acha kudhani, ujue kuna jopo la wataalamu walikaa na kupitia uafanisi wa hii kampuni katika kujenga mabwawa ndio maana wamewapa kazi, tafuta mkandarasi aliyopewa hii tender, fanya research ya miradi aliyofanya kisha upate wasiwasi...ila siyo kwa kufikiri kwako tuu
 
uchumi tutaujenga wenyewe ukitaka ujengewe uchumi na nchi nyingine sahau. maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli aongoze miaka 20 ili tupae kiuchumi.
Ikifika miaka hiyo utakuwa umeshakimbia nchi
 
Kama hujasomea Engineering huwezi kuelewa kitu
Uhandisi ni vifaa na uzoefu baada ya elimu husika,hata mkinga anafanya tu
Wamisri wapo mbali sana kuhusiana na mabwawa
Ivi Bongo hakuna maingineer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…