Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huo kwenu ni ukweli mchungu.hovyo sana wewe,hamia marekani basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo kwenu ni ukweli mchungu.hovyo sana wewe,hamia marekani basi
Unajisumbua kuwa elimisha chadrama mcharuko mizee ya matukioMkuu mimi nakuheshimu sana. Lakini naomba at times uwe objective.
Kuna sehemu serikali inafanya madudu na ni haki yetu kuikosoa kama tunavyofanya humu kila siku. Lakini hebu tuwe wakweli kidogo, tunaweza kupinga juhudi za kuwa na umeme wa uhakika kusukuma gurudumu la maendeleo yetu mbele?
Yes, najua kuna nadharia nyingi hapa (mradi huu ni mkubwa, pesa hatuna, tungewekeza kwenye umeme wa maji, umeme wa gesi, upepo na mengine mengi!). Lakini Ukweli ni kwamba tunahitaji umeme. Sijaona juhudi za watangulizi wa jiwe kutupa umeme wa uhakika kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru. Kila kitu ni ujanja ujanja tuu....(refer akina net group, akina Rugemarila nk). Kama huu ndo mradi utatupa umeme, tumsupport JPM!
Tusiwe watu wa kupinga kila kitu..Tunapoteza maana ya neno lenyewe na mwisho wa siku..hata mtu ukipinga kitu cha maana unaonekana ni yule yule.
Umeme ni muhimu kwa maendeleo ya taifa!
Wamechanganyikiwa kabisa walahiHabari mbaya sana hii kwa chadema
Binafsi mm nimekuelewa mkuuHii miradi bila kujipanga matokeo yake ndio haya sasa tunakamuliwa kodi kwenywe kila kitu.
Miradi mpaka ikamilike, wabongo mtakuwa hohehahe huku uchumi ukiwa taabani(mtakuwa kama waethiopia)
Msisahau zoezi la kujenga mji wa kiserikali Dodoma nalo linaendelea.
Serikali imejitwika mzigo isio na uwezo nao japo baadhi ya hiyo miradi michache ni muhimu ila utekelezaji wake na gharama zake ni lazima tutuumie tena sio kidogo na hata uchumi unaweza kuyumb maana baadhi ya miradi inapeleka fedha nyingi nje ya nchi..
Hauwezi kujenga nchi kwa kuongeza expenditure,kukopa kwa kiasi kikubwa na wakati huo huo mapato ya nchi yanaporomoka.
Chagueni miradi michache na muitekeleze kwa awamu kulingana na uchumi wetu na kwa kuzingatia pato halisi la Taifa letu.
Ni swala la muda tu itawabidi mbuni kodi za ajabu ajabu ili kujaribu kujikwamua.
Kwa sasa wengine hatutaeleweka kama ilivyo kawaida ila muda ndio kila kitu.
Technology ya kujenga vitu kama hivyo Misri, nchi masikini kama sisis waliipata wapi?Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Hapa ndio mahala pake hata Rais anasoma JFkama mzalendo peleka hoja sehemu husika kabla ya muda kuisha na watu kuanza kazi au mwajika hapa si kifichoficho kama ulivyosema
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Kama hujasomea Engineering huwezi kuelewa kituLakini kweli wamisri wanatechnolojia ya kujenga Mabwawa au tunaenda kupiga hasara hapa?
Ikifika miaka hiyo utakuwa umeshakimbia nchiuchumi tutaujenga wenyewe ukitaka ujengewe uchumi na nchi nyingine sahau. maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli aongoze miaka 20 ili tupae kiuchumi.
Ivi Bongo hakuna maingineer?Kama hujasomea Engineering huwezi kuelewa kitu
Uhandisi ni vifaa na uzoefu baada ya elimu husika,hata mkinga anafanya tu
Wamisri wapo mbali sana kuhusiana na mabwawa