IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
ingekuwa chanzo cha maji ni Ziwa Victoria, lazima wengehujumu
 
Jopo composition yake ni ipi? Jopo la Magufuli akiwa member wa Jopo? (maana huyu ndiye kila kitu)
 

Baada ya Mradi kuisha
Hiyo miti yote itakuwa imekatwa, na hapo patachimbwa na kujengwa makuta ya masement na mavyuma ya kufua umeme, this view will become extinct henceforth.

I will miss you, The Great Rufiji.
 


kupanga ni kuchagua lipa kodi kwa maendeleo ya taifa lako na sio kulipa kodi inayobebwa kwa lumbesa.
 
Nina wasiwasi ikawa white elephant kama gas ya mtwara. Gas ya mtwara ilisemekana kuwa suluhu ya matatizo ya umeme Tanzania, leo hii zimejengwa kinyerezi one hadi three, but all on vain..

Angalia jedwali hapo chini uone jinsi tarrif za TANESCO zinavyoumiza watanzania, huku tuliaminishwa kuwa baada ya gas umeme ungeshuka bei kwa asilimia kubwa. At least serikali hii iliamua kuondoa monthly service charges...
 
Hilo jopo lililokaa na kuchagua mkandarasi

Ipo hivi, miradi mingi ambayo either tunachukua mkopo au tumefadhiliwa bure kama na WB, AfDB n.k inakuwa na taratibu/masharti ambayo yanawekwa kuanzia kwenye procedure ya mwanzo kabisa mpaka hapo mradi unapokamilika, mf. Kwenye baadhi ya miradi taasisi za serikali zinafanya tuu zile tendering process lakini evaluation ya bidders and selection inafanywa na WB, majibu mnapewa na serikali, hata mikataba mnasaini na serikali nayo serikali inasaini na WB
 
Kwani ule mradi wetu wa umeme wa gas umeishia wapi
 
Kama ulimsikiliza vizuri muheshimiwa katika moja ya hotuba zake alisema gesi ni ya wenyewe walioivumbua kwa minajim kwamba wanafidia fedha zao juu ya mkataba walioingia sasa kwanini asidili na anachokiweza ?
Tuliaminishwa nini kipindi kile cha ugunduzi na kabla ya hiyo kauli?au yeye alikuwa bado hajazaliwa au pengine hakuwa CCM bali Chauma?
 
View attachment 965550
Baada ya Mradi kuisha
Hiyo miti yote itakuwa imekatwa, na hapo patachimbwa na kujengwa makuta ya masement na mavyuma ya kufua umeme, this view will become extinct henceforth.

I will miss you, The Great Rufiji.
Ndugu ingekuwa hivyo basi sote ilibidi tuishi kwenye miti kama sokwe na kulala mapangoni ,,,umepewa rasilimali unaogopa kutumia nani atumie rasilimali ulizonazo ? Rufiji inaukubwa kiasi gani mpaka unahofia kujengwa mradi huo? Emu furahia tunaenda kutatuliwa shida yetu ya mda mrefu ya umeme hayo mengine tuyaache ,,,,au wewe unatumia biogas hutaki sisi tunaotumia umeme wa tanesco tufurahi na umeme wa uhakika?? Be positive to positive things, period !
 
Kukaaa sehemu fulani sio kigezo au kipimo unaeza ishi tz lkn wewe mentality yako hailingani nao hata wavumbuzi wengi wametokea familia masikini sana
 

Kuna jema kwako?
 
sikubaliani na wewe miradi hii itazidi kusisimua uchumi, ni kiasi kidogo sana ndo kitakachoenda nje, maana cement, nondo na labour zitapatkana hapa kwa kiasi kikubwa.
 
Washa saini....mkataba
WA kuanza ujenzi
Umechelewa

Ova
 
Watu wanasema mazingira, Tanzania tuna maeneo makubwa na hayatumiki. Tutumie rasilimali zetu coz ni zetu. Inatumia 1% tu ya eneo lote.

Wasiwasi wangu tusije kuishia kama gas asilia...
 
Ili tupae kiuchumi Anahitaji Aongoze Miaka 20 ili amalizie miradi yake yote, kama ninavompinga jpm na ninapompongeza tuungane mkono makamanda.
Ili mradi huu uwe na tija unapashwa kuchukua muda mfupi iwezekanavyo kujengwa hadi kukamilika.Tafuta data mradi wa kihansi,ulijengwa wakati nani ni rais, ulichukua muda gani na unaendelea vipi au una changamoto zipi hadi sasa, utaona kuwa hiyo hoja ya miaka 20 haina tija bali kuleta vurugu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…