Kutoka bil 8 hadi tri 1.3, sio ukuaji wa mapato hayo mkuu? Kinachofanyika ni kuhamasisha ili tufikie malengo makubwa zaidi ya ukusanyaji ila kuongezeka mapato kunafanyika.Kasi gani wakatu uchumi unavurugika?
Kasi tungeiona kwenye kuongeza mapato ya nchi na sio kwenye kukopa na kufanya mambo mradi tu uonekane umefanya.
Unanyegeekaaa...tuliza makalio hata siku mojamoja..Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
Wangechagua miradi michacha na sio kwa style hii ya kuwa na mamiradi ya matrilioni ndani ya muda mfupi.
Anatuletea njozi za JKN zilizofeli?Rais@MagufuliJP leo Jumatano anaaza safari ya kutimiza ndoto ya Mwalimu Nyerere kwa kusaini mkataba wa Mradi Stiglers Gorge. Matangazo ya utiliwaji saini yako MUBASHARA kutoka Ikulu Dar es Salaam kupitia#TBC1.
Kama wameshinda opend tender ondoa shaka.Lakini kweli wamisri wanatechnolojia ya kujenga Mabwawa au tunaenda kupiga hasara hapa?
Akili za chooniNinawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Ndugu ingekuwa hivyo basi sote ilibidi tuishi kwenye miti kama sokwe na kulala mapangoni ,,,umepewa rasilimali unaogopa kutumia nani atumie rasilimali ulizonazo ? Rufiji inaukubwa kiasi gani mpaka unahofia kujengwa mradi huo? Emu furahia tunaenda kutatuliwa shida yetu ya mda mrefu ya umeme hayo mengine tuyaache ,,,,au wewe unatumia biogas hutaki sisi tunaotumia umeme wa tanesco tufurahi na umeme wa uhakika?? Be positive to positive things, period !
Na wewe uwe positive pia, ukweli ni kwamba kutakuwapo na uharibifu wa mazingira, namaanisha kwamba uzalishaji wa umeme utaongezeka na mazingira yatakuwa yameharibika.Ndugu ingekuwa hivyo basi sote ilibidi tuishi kwenye miti kama sokwe na kulala mapangoni ,,,umepewa rasilimali unaogopa kutumia nani atumie rasilimali ulizonazo ? Rufiji inaukubwa kiasi gani mpaka unahofia kujengwa mradi huo? Emu furahia tunaenda kutatuliwa shida yetu ya mda mrefu ya umeme hayo mengine tuyaache ,,,,au wewe unatumia biogas hutaki sisi tunaotumia umeme wa tanesco tufurahi na umeme wa uhakika?? Be positive to positive things, period !
Ukiona unastaafu mafao hupati au unapunguzwa kazi na haki zako unapunjwa,ndio utaelewa ninachokisema.Kabisa Mkuu. Lakini hawajafanya hivyo...does it mean tusione lolote la maana?
Mimi naamini kabisa Ingawa miradi ya umeme na Reli ni mikubwa na haina immediate impact kwenye maisha ya wengi, Lakini ni miradi itasaidia sana taifa letu kupiga hatua kwenye maendeleo.
Maendeleo yana gharama.
Nchi inazalisha megawat 1500 na uhitaji ni megawat 2500 kwa makadilio na ST gorge inazalisha megawat 2000 jumla ikishaunganishwa na grid ya taifa nchi itazalisha megawat 3500 hivi sasa usichokijua ni kipi ?Tatizo la nchi hii sio uzalishaji wa umeme, tayari tunazalimisha umeme mwingi zaidi ya mahitaji yetu, tatizo letu ni miundombinu ya usambazaji wa umeme.
Kwa hiyo unaponiambia huu mradi utaondoa matatizo ya umeme sikuelewi.
Mda mwingi unawaza choo sijui unamatatizogani weweAkili za chooni
wewe ulitaka kuzifanyia nini?Hizo trillion wanazoenda kuzitumbukiza mm ndo zinaniuma ....dah
Neno!!!!!Ubaya wa raia wa nchi ya kusadikika hawajui wanachokitaka, hawaelewi vipaumbele vyao... "mradi wa stiglers gorge wa nini?? Mara ohoo ndege za nini?? Mara eheee SGR ya faida gani?? Waulize mnataka serikali ifanye nini?? Hawana majibu yenye hoja. Wanasubiri DADA MANGE au TUNDU LISSU aseme nao wadandie hoja hapo hapo, wasadikia ifike mahala ubongo tuufikirishe kabla ya kuongea, panapo kupongeza tupongeze, panapo kukosoa tukosoe kwa hoja pia. Hutaki SGR serikali ifanye nini?? Hutaki ST GORGE serikali ifanye nini?? Ujuaji wa mitandaoni hautatupeleka popote