wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Huo wa majenereta ndio unawaumiza nigeria mpaka sasaAwamu ya 4 (kikwete) ilituaminisha kuwa umeme wa Gas ndio rahisi na utashusha bei ya umeme na bidhaa kwa ujumla! matokeo yake umekuwa na umeme uliotumia mabilioni ya shilingi na tulichoaminishwa hakuna.
Awamu hii ya 5 inatuaminisha kuwa umeme huu wa maji utakuwa ndio rahisi zaidi na utashusha bei ya bidhaa na tutatembea kifua mbele.
Awamu ya 6 huenda tukaja kuambiwa umeme wa majenereta ndio mzuri, wenye unafuu kuliko hiyo mingine!