Mimi nilikuwa na shukran na Kikwete, uliza wakongwe wa JF ilikuwa patachimbika hapa ukimtukana J.K, kila zama na kitabu chake.

Muda wake umeisha na yeye alikuwa na mazuri na mabaya yake fine ndio siasa za africa kutesa kwa zamu.

Umeshamaliza muda wako pumzika basi Msoga waache na wenzako waendeshe nchi wanavyojua wao, walete maendeleo wanavyojua wao.

Nilipoona sio muungwana na mtu mwenye tabia za narcissistic kila saa anataka atokee kwenye media ndipo nilipoanza kumuona wa ovyo. Ndugu watu wakikupigia picha nyumba aliyo mnunulia binti yake Mwanaisha na mumewe Albert Marwa nje ya London ndio utajua huyo mtu ana mihela.

Waafrica wanaelewa ndio culture yetu watu wakipata madaraka ndio maana usikii malalamiko, tosheka basi. Ata Lowassa’s wanawashinda Regina Lowassa ubunge viti maalum aliwaambia CDM kuna mtu ana stahili hiyo nafasi kushinda mimi mpeni; yeye yupo sawa. Sio Kikwete’s baba mtu ana self grandiose syndrome kutwa kwenye media mimi hivi mimi vile, enzi zangu sijui ilikuwa hivi, ndio nikaamua kufanya abc kila siku tumechoka story zake; mama mtu tamaa ubunge wa nini Salma Kikwete.

Funny enough ni mzazi mzuri watoto zao wote wanajitegemea wenyewe, sasa nini tena anataka zaidi ya kuacha Tanzania iende yenyewe na vyombo vyake; yeye kwake no anadhani anajua what’s best for Tanzania kushinda mwingine yeyote hapo ndipo nilipoanza kumuona huyu mzee kumbe hana maana.
 
Muulize aliyeipandisha hiyo bei ya unga
 
Basi wanawe waende wakadai urithi wa baba yao.
 
Sasa mbowe kaingiaje hapa?? Kiswahili chenyewe sasa
 
Hamna,alimchagua kwakua aliona ni mwanamke hana ushawishi wala nguvu kama wanawake wanavyodharaulika usukumani[emoji120]na ndio maana hakumshirikisha mambo mengi alipokuwa rais Hadi maza alitaka kujiuzulu[emoji1787]
Alitaka kujiuzuru baada ya kushtukiwa na Magufuli kwamba ndie anaevuj8sha siri za Ikulu kwa Msoga Gang na kigogo14
 
Kama kipi kwa mfano?,taja tewnde sawa
Alisha wahi sema kuwa tangu kupata uhuru kwa nchi hii yeye ndo kakuta kwenye nchi hakuna chochote kilicho fanyika vilivyo fanyika yeye ndo aliye vifanya.

Alafu akasema akiondoka hakuna mtu mwenye uwezo wa kufanya anayo yafanya yeye.
 
Inauma sana sana kwakweli
 
Bi Zuhura Yunus anatamani kufuta video zote za Magufuli kwenye mitandao. Sisi Chawa tunapingana na ujambazi wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…