Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hati imebanwa name solo tape ya leo
Hoja ya hati ya Muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa Muungano unategemea uwepo wa haki ya Muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
hoja ya hati ya muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. Sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa muungano unategemea uwepo wa haki ya muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
Hoja ya hati ya Muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa Muungano unategemea uwepo wa haki ya Muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
Kwenye mambo ya msingi kama haya Ikulu hukaa kimya ila ukigisa jambo binafsi la wana ccm watakuja haraka na warakaTaarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...
aisee hadi raha tanganyika yangu karibu sana.
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...