mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Hatuna rais,
anatumia maneno "nimeambiwa,nimesikia,nimesimuliwa" kuusemea mswada ambao hata hajausoma akajua
Akili ndogo kuitawala akili kubwa
Alisomewa ile taarifa fupi ndo maana alisema ameambiwa na kuelezwa. Unajua taarifa kwa ufupi haiwekwi kila kitu.
Mpaka sasa sijajua Kikwete ana matatizo gani kiakili.
Je huu ni Woga wa Kikwete dhidi ya Wapinzani au Usanii wa Kikwete dhidi ya watanzania?
hiyo ndo staili ya awamu ya nne, mswada hata ukawa mbovu sharti usainiwe kwanza!!Hapa ni msimamo tu hakuna kupepesa macho mswada unasainiwa kwanza mambo mengine baadaye.
Chezeya nguvu ya umma weye!!!
Hivi inachukua siku ngapi kwa Documet kutoka Bungeni mpaka Ikulu?
Au Umetumwa kwa kutumia Bajaji?
Alafu kumbe ajausoma wala kuuona, ndio maana ilikuwa nimeambiwa, nimesikia, nimesimuliwa. Sasa aliusemea vipi na ilihali ajuhi hata ukoje?
kwani kabla haujaenda bungeni si umepitia Ikulu? kwani kuna kipi kipya kimeongezeka?
Safi sana JK
Kuna mtu kaleta habari kuwa umeshasainiwa kumbe ni uongo
Mods safi sana nimepitia ule uzi nimeona kama jamaa mmeshamtia korokoroni(Banned)
Ni vizuri watu wakaacha utani kwenye masuala nyeti kama haya maana baadhi ya member presha ilishapanda sana.
JK uwe makini nyakati mbaya hizi kwanza unamaliza kipindi chako cha Uongozi
Pili km utakumbuka vzr ndy wakati km huu enzi za Mkapa watu walikwenda kutia saini wizi wa EPA
Viongozi wa Idara,Taasisi walitishwa na watu wachache wakakwapua kila kitu.
Uwe makini mno.
Mkuu mbona unaonekana umevurugwa hizo jazba za nini mbona mchangiaji kachangia vizuri,Wewe unampongeza JK au unawapongeza JF kwa kumpa mtu Ban?
Habari ya Muswada kusainiwa na Mh Rais zilisambaa ktk mitandao yote. Na ndio maana Kurugenzi ya habari Ikulu iliona kuna umuhimu wa kutoa ufafanuzi juu ya jambo hilo.
Changia mada wacha Kimbelembele cha kujipendekaza kwa uongozi wa JF.