Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Habari za masiku hath tagiani humu kwenye mambo muhimu mkuuMagufuli akipata 30% akatambike, sunami ya Lissu hatoiweza, halafu kingine ni hiki, kama Magufuli kaweza kuwa Rais ni Mtanzania yupi mwingine atashindwa?
Atapewa udas romboLisu "UWAZIRI HUO"..
Ni mtoto wetu huyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Atapewa udas rombo
Atapew
Hii itakuwa rushwa ya ngonoWakati Magufuli alipokuwa anamzungumzia mgombea mwingine na kumhaidi rushwa ya kazi, TBC walitakiwa wakate matangazo kwa muda.
tusameheane mkuu , vita haina macho hadi tunasahau majukumu mengineHabari za masiku hath tagiani humu kwenye mambo muhimu mkuu
Sio lissu alikuwa anamsema nyalandu bana. Nyalandu ndio mtoto wa ccm na wala sio lissuLeo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza.
"Mmoja wa wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) nishaurieni tu kwamba mimi mnipe kura nyingi yeye nitamtafutia kikazi kidogo dogo huko serikalini. Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote, kwani kazi lazima uwe Rais. Muachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi unachoweza kufanya (Ikungi oyee)
Kwa sababu sisi wote ni wamoja, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi, kwa nini unahangaikia hii kazi ambayo hutashinda." Mwisho wa kunukuu.
Duh, kweli tunatofautiana kwenye uelewa aiseeKuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.
Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.
Bila samahani mkuu tuko pamoja.tusameheane mkuu , vita haina macho hadi tunasahau majukumu mengine
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza.
"Mmoja wa wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) nishaurieni tu kwamba mimi mnipe kura nyingi yeye nitamtafutia kikazi kidogo dogo huko serikalini. Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote, kwani kazi lazima uwe Rais. Muachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi unachoweza kufanya (Ikungi oyee)
Kwa sababu sisi wote ni wamoja, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi, kwa nini unahangaikia hii kazi ambayo hutashinda." Mwisho wa kunukuu.
Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote
Robert Amsterdam naona keshalima Mtu barua leo hii,visit account yake twitterNa atajibu tu ikiwezekana leo hii
Magufuli noma,lakini kuna kesho.You never know akawa waziri,au mwanasheria mkuu, au Jaji.Hahah apewe kazi ya kubeba mafaili.
Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
[/QUOTE
Wewe nungayembe hutowahi kuolewa labda Shetani
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza.
"Mmoja wa wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) nishaurieni tu kwamba mimi mnipe kura nyingi yeye nitamtafutia kikazi kidogo dogo huko serikalini. Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote, kwani kazi lazima uwe Rais. Muachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi unachoweza kufanya (Ikungi oyee)
Kwa sababu sisi wote ni wamoja, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi, kwa nini unahangaikia hii kazi ambayo hutashinda." Mwisho wa kunukuu.
AHAHAHAAHSera za jiwe zinachekesha sana
Ahahahah kampeni Lisu anampelekesha jiwe hadi anakosa pumzi,magu inabidi ajitoe tu amuunge mkono chuma kuingia ikulumatibabu walikataa!
Kifo kilitakiwa!
Ubunge walimnyanganya!
halafu leo ampe kazi? maneno mabaya yaloyojaa kejeli na dharau sana.
Psychopath: a person with a psychopathic personality, which manifests as amoral and antisocial behavior, lack of ability to love or establish meaningful personal relationships, extreme egocentricity, failure to learn from experience .Anachomaanisha ni kuwa uchsguzi halali haupo au hautakuwepo kabisa.
Psychopath huamini kuwa wao ni "mungu" hawashindanishwi hivyo huishia kuwashangaa wanaojaribu kushindana na mungu
Sio utani ana maanisha