Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza.
"Mmoja wa wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) nishaurieni tu kwamba mimi mnipe kura nyingi yeye nitamtafutia kikazi kidogo dogo huko serikalini. Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote, kwani kazi lazima uwe Rais. Muachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi unachoweza kufanya (Ikungi oyee)
Kwa sababu sisi wote ni wamoja, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi, kwa nini unahangaikia hii kazi ambayo hutashinda." Mwisho wa kunukuu.
KAMA MWALIMU WA CHEMISTRY ANAWEZA KUWA RAISI WA NCHI,,NASHANGAA KWANINI MWANASHERIA NGULI MFANO WA TL ASIWEZE KUWA RAISI WA NCHI.
Inashangaza sana pengine Magufuli, hajui ukweli kwamba Viongozi wengi bora ,wenye kuimarisha demokrasia ,kuongoza kwa vizuri, na kuheshimu uhuru wa mahakama wengi wamekuwa wanasheria,,kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria, na lengo likiwa maisha bora ya wananchi (Uchumi)
sasa kati ya hizi Taaluma mbili zinazotakiwa ili kufanikisha maendeleo ya nchi Magufuli hana hata taaluma moja, siyo Mchumi na wala siyo Mwanasheria,,
kwa sababu ni mkemia hayo mambo mawili inabidi ategemee sana ushauri pekee wa wachumi na wanasheria.
Wanasheria wengi wamejitahidi kuwa viongozi wazuri na wa mfano,,, Mfano, NELSON MANDELA, SOUTH AFRICA, LEE KAUAN YEW SINGAPORE, JOHN KUFFOUR GHANA, Prof ATTA MILLS GHANA, RAMAPHOSA South Africa, Barrack Obam, Bill clinton, Jimmy CARTER,, kifupi ni kwamba Marekani imekuwa na maraisi 26 wanasheria, Na ndio maana imekuwa mfano wa utawala bora na kidemokrasia.
Uingereza Magreth thatcher,, na wengine,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Sasa ni vizuri pia tukajifunza Wan Chemistry wao uongozi wao upoje,,tupate mfano mwingine,,,
ukimwacha Magufuli,,,