Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii anayopambania hatoiweza.
"Mmoja wa wagombea nafikiri anatoka hapa (Singida) nishaurieni tu kwamba mimi mnipe kura nyingi yeye nitamtafutia kikazi kidogo dogo huko serikalini. Ni mtoto wetu tunampenda, wala hatuna tatizo na mimi ndugu zangu sina tatizo na mtu yoyote, kwani kazi lazima uwe Rais. Muachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi unachoweza kufanya (Ikungi oyee)
Kwa sababu sisi wote ni wamoja, akija mwambieni kwamba Magufuli amesema atakupa kazi, kwa nini unahangaikia hii kazi ambayo hutashinda." Mwisho wa kunukuu.
Lumumba wana sababu na we we zaid ya kusifuToa sababu
Lakini kwa kumiminiwa risasi zote zile 16, sidhani kama atalainika kwa hivyo vishawishi!Ni kama tu ilivyotokea kwa kina Dr Mollel, M wita Waitara, na waunga juhudi wote. Hivyo lisu akiwa mwepesi kama waunga juhudi wengine tutampoteza na kisha kumuona akiwa ndani ya bustani ya mbogamboga kama Patrobas Katambi
Sasa kweli hatakama hukusoma atadarasa lakwanzaaa unamuona lisu anafaaa kitengo nyeti cha uraisi kweliii.Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli akiwa katika kampeni zake, akiwa huko Ikungi mkoani Singida, akisema kuwa kuna mgombea mmoja wa Urais mkoani humo ( Ingawa hakumtaja kwa jina, lakini ni dhahiri alikuwa amemlenga Tundu Lissu) akasema kuwa hawezi kushinda mbio hizo za Urais na akawaomba wananchi hao wampe yeye kura zote za Urais na akawapa ujumbe wakazi hao kuwa wamwombe Tundu Lissu ajitoe kuwania Urais na yeye Rais Magufuli atamteua katika nafasi zake nyingi za uteuzi.
Ndipo hapo ninapojiuliza iwapo Tundu Lissu tayari keshapitishwa na Tume ya uchaguzi kugombea Urais kwa Urais kwa tiketi ya Chadema, hivi hii kumshawishi ajitoe katika mbio hizo za Urais ili amteue katika nafasi za uteuzi, je hiyo siyo njia mojawapo ya ushawishi wa rushwa, ambayo yeye Rais Magufuli anatueleza sisi wananchi kuwa anapambana nayo kwa nguvu zote?
Hakuna yeyeto aliyewahi umizwa akaunga juhudi check waunga juhudi wote hakuna hata mmoja aliyewahi umizwaLakini kwa kumiminiwa risasi zote zile 16, sidhani kama atalainika kwa hivyo vishawishi!
Ninavyo amini no kuwa haki Kwanza mengine yanafuata,hats anaeonekana changamoto Leo huenda wangekuwa wanakutana meza moja na kusingekuwa na Hali tunayo Iona leo.Ni kama tu ilivyotokea kwa kina Dr Mollel, M wita Waitara, na waunga juhudi wote. Hivyo lisu akiwa mwepesi kama waunga juhudi wengine tutampoteza na kisha kumuona akiwa ndani ya bustani ya mbogamboga kama Patrobas Katambi