Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Huu ujinga ulionijibu Bashe amekulipa au unajaipa kazi ya bure isiyo na mshahara?
 
Wataingiza vipi ikiwa Bashe alishawakaanga hawana uwezo licha ya jitihada zote walizofanya za kukutana nae bado akagoma mpaka wakataka kuonana na Samia?

Wewe mjinga unaonekana ile taarifa ya Mpina hujaisoma unaleta ngonjera zako za kitoto hapa kumlinda Bashe na mama Abdul, nyie ndio Gen - Z wa Tanzania, tumbo mbele akili nyuma!.
 
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?

Duh hii nchi ngumu sana
Kwa hiyo kwako bora sukari iingizwe nchini bila kujali kama sheria zilifuatwa ama vipi!.

Wewe nimeshakuona muda unasumbuliwa na vimelea vya udini na ufisadi, toka lile sakata la bandari kwa DPW sikuamini tena, ni mpinzani maslahi.
 
Kwa hiyo kwako bora sukari iingizwe nchini bila kujali kama sheria zilifuatwa ama vipi!.

Wewe nimeshakuona muda unasumbuliwa na vimelea vya udini na ufisadi, toka lile sakata la bandari kwa DPW sikuamini tena, ni mpinzani maslahi.
Kuna Uzi mmoja unaonesha nyaraka ya kampuni inaagiza karibu Tani 60K za Sukari kutoka Zambia na Uganda, this is completely fishy if someone pays attention to details.

Hicho kibali pekee kinahitaji scrutiny kuna Sukari kibao haitakuja Tanzania.

Wanaomtetea Bashe napata Ujasiri wa kusema wamelipwa
 
Duuh,
Ufisadi wa kutisha.

Ingekuwa China huyo Bashe na mwenzake Mwigulu wangenyongwa chap
 
Kwamba hamjui hiyo ishu ina baraka za ccm kwa ajili ya fedha za kampeni 2025, hapa ndipo CDM wanapopigwa bao kizembe zembe.
 
Ni lengo v
Zuri la kufanya stabilization ya bei ya hiyo bidhaa,kama Kuna watu wanafanya hujuma basi soon ukweli utajulukana,ukitaka aagize tani laki moja?
 
Bashe hawezi kufanya jambo bure bure, huwa lazima awe na percent yake. Mwanafunzi wa Rostam na Lowasa huyo
 
Siajelewa hapo.

Iwapo sukari ilihitajika tani 30k, na ameagiza 400k, tatizo lipo wapi?
 
Siajelewa hapo.

Iwapo sukari ilihitajika tani 30k, na ameagiza 400k, tatizo lipo wapi?
Kaagiza kiasi kikubwa kuliko mahitaji ya nchi

Ukiacha ufisadi na utata kwenye vibali, he completed disrupted the sugar market.

He didn't not solve the core problem instead he flooded the market na hiyo Sukari, so hao wanunuzi wapya wa Sukari wanaweza kwa kiwango kikubwa sana as long as wanazo hizo Sukari kwenye maghala yao
 
Luhaga Mpina hana point ni wakala wa matajiri wahodhi sukari tu. Sisi tunataka sukari iwepo kwa bei rahisi bila kujali imekujajaje.

Hata wewe denoo JG mwenye leseni ya kusuka nywele ukileta sukari tunanunua.

Bashe shikilia hapo hapo mpaka hawa sukuma gang wa mwendazake wanyooke
 
Idiot i know you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…