Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Mzigo ukifika bandarini au airport kuna vyombo au taasisi zinahusika na ubora wa chakula au dawa zinazoingia nchini.. TBS , TMDA , Mkemia mkuu , na wengineo hapo kabla hujakutana na TRA unaanza na hao wanaohakikisha ubora... Tupo salama Mkuu usiwe na hofu kabisa kwenye ubora .. serikali hii ya ccm haiwezi ikaruhusu sumu ikaingia mtaaani ..
Huu ujinga ulionijibu Bashe amekulipa au unajaipa kazi ya bure isiyo na mshahara?
 
Kwenye hizo tani kumi hao wafanyabiashara wa viwanda Ambao ni hao 7 je waliingiza hata nusu kilo ?! Hao unaodai wana uwezo ..maana walipewa wao kwanzA vibali kabla ya hizo stationary ambazo hazifanyi biashara za sukari wala hazina experience kama unavyodai lakini wakafanikiwa kuleta sukari ... Yaani sijaelewa point ya Mpina .. ni kwamba waziri angeendelea kuwabembeleza wake wafanya biashara 7 superdoll na wenzake walete sukari huku mtaani taharuki ikiendelea bei ikizidi kupaa?! Alafu nimemuuliza swali mwenzako anaposema upigaji kwani kuna hela ya serikali huyo mwenye stationary kapewa anunue mzigo ?! Wananchi wanachotaka ni matokeo sukari ije mtaani kwa bei chee .. sio kuanza kuwabembeleza kina superdol na wenzake walete tani kumi ambazo walishindwa au hawakutaka kuingiza ili Ku maintain uhaba ..
Wataingiza vipi ikiwa Bashe alishawakaanga hawana uwezo licha ya jitihada zote walizofanya za kukutana nae bado akagoma mpaka wakataka kuonana na Samia?

Wewe mjinga unaonekana ile taarifa ya Mpina hujaisoma unaleta ngonjera zako za kitoto hapa kumlinda Bashe na mama Abdul, nyie ndio Gen - Z wa Tanzania, tumbo mbele akili nyuma!.
 
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?

Duh hii nchi ngumu sana
Kwa hiyo kwako bora sukari iingizwe nchini bila kujali kama sheria zilifuatwa ama vipi!.

Wewe nimeshakuona muda unasumbuliwa na vimelea vya udini na ufisadi, toka lile sakata la bandari kwa DPW sikuamini tena, ni mpinzani maslahi.
 
Kuna Uzi mmoja unaonesha nyaraka ya kampuni inaagiza karibu Tani 60K za Sukari kutoka Zambia na Uganda, this is completely fishy if someone pays attention to details.

Hicho kibali pekee kinahitaji scrutiny kuna Sukari kibao haitakuja Tanzania.

Wanaomtetea Bashe napata Ujasiri wa kusema wamelipwa
 
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole

Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.

Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂

Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂

Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!

Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanaichezea
Duuh,
Ufisadi wa kutisha.

Ingekuwa China huyo Bashe na mwenzake Mwigulu wangenyongwa chap
 
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole

Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za sasa). Ni kama Bashe anaanza kutumia Kodi zetu kujiandaa na uchaguzi wa 2030.

Alilofanya Bashe ni ufisadi mkubwa sana unatakiwa uwekwe kwenye Historia kama ufisadi wa Lowassa, mwaka huu pekee Jamaa ametarget billion 500 kwenye Sukari, imagine alizoiba kwenye Mbolea, BBT, nane nane... 😂😂

Hata kama Ndio kuuiba, huku ni kumezidi, Kha!😂

Ukraine wanawepewa msaada Lakini misaada inatoka kwa awamu, kuna misaada itatoka mwaka 2027, Lakini Bashe yeye hela ya mwaka 2030 anaaiba Leo, Kha!

Bashe asipochukuliwa hatua nitaamini hii nchi kuna Watu wanaichezea
Kwamba hamjui hiyo ishu ina baraka za ccm kwa ajili ya fedha za kampeni 2025, hapa ndipo CDM wanapopigwa bao kizembe zembe.
 
Ni lengo v
Zuri la kufanya stabilization ya bei ya hiyo bidhaa,kama Kuna watu wanafanya hujuma basi soon ukweli utajulukana,ukitaka aagize tani laki moja?
 
Bashe hawezi kufanya jambo bure bure, huwa lazima awe na percent yake. Mwanafunzi wa Rostam na Lowasa huyo
 
Siajelewa hapo.

Iwapo sukari ilihitajika tani 30k, na ameagiza 400k, tatizo lipo wapi?
 
Siajelewa hapo.

Iwapo sukari ilihitajika tani 30k, na ameagiza 400k, tatizo lipo wapi?
Kaagiza kiasi kikubwa kuliko mahitaji ya nchi

Ukiacha ufisadi na utata kwenye vibali, he completed disrupted the sugar market.

He didn't not solve the core problem instead he flooded the market na hiyo Sukari, so hao wanunuzi wapya wa Sukari wanaweza kwa kiwango kikubwa sana as long as wanazo hizo Sukari kwenye maghala yao
 
Wataingiza vipi ikiwa Bashe alishawakaanga hawana uwezo licha ya jitihada zote walizofanya za kukutana nae bado akagoma mpaka wakataka kuonana na Samia?

Wewe mjinga unaonekana ile taarifa ya Mpina hujaisoma unaleta ngonjera zako za kitoto hapa kumlinda Bashe na mama Abdul, nyie ndio Gen - Z wa Tanzania, tumbo mbele akili nyuma!.
Luhaga Mpina hana point ni wakala wa matajiri wahodhi sukari tu. Sisi tunataka sukari iwepo kwa bei rahisi bila kujali imekujajaje.

Hata wewe denoo JG mwenye leseni ya kusuka nywele ukileta sukari tunanunua.

Bashe shikilia hapo hapo mpaka hawa sukuma gang wa mwendazake wanyooke
 
Idiot i know you.
 
Back
Top Bottom