Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Tabia gani sasa,

Kumpa demu simu yako?
Kutofuta convo?
Kuwa na mademu wengi?
Au zote kwa pamoja?
Kuwa na mademu wengi
Kilichokufanya ule kama unawahi handakini kukimbia balistic za Houth ni nini?

😆😂🤓
Sikuwa na utulivu mkuu nilijua tu atasoma convo na akishasoma mambo yatabadilika.
 
Huawei wamekuja na solution ya hii kitu kwenye HARMONY OS, wamekupa private space, ambayo unaweza kuwa na wasap yake tofauti na kila kitu tofauti na mtu asijue chats, gallery, emails na calls zako za siri yani ni complete kama simu nyingine
 
Mwanamke wa kwanza alikua na kiburi nikapiga chini asubuhi mapema, Mwanamke wa pili nilimfukuza kwa kosa hili, kosa lake lilikua la kunizoea sana mara kushika simu, kunitania, kunizoea badala ya kuniheshimu, nikafukuzia mbali, nimepata mwanamke wa tatu ana sifa zote ninazotaka, hawa usiwaendekeze mkuu Half american
 
Siwaendekezi mkuu ila haya mambo ya kushikiana simu n kunyimana uhuru.
 
Huawei wamekuja na solution ya hii kitu kwenye HARMONY OS, wamekupa private space, ambayo unaweza kuwa na wasap yake tofauti na kila kitu tofauti na mtu asijue chats, gallery, emails na calls zako za siri yani ni complete kama simu nyingine
Sasa si na huko kutajulikana au hizo app zinakuwa displayed kotekote?
 
Nimekumbuka kale kawimbo "Usione soo sema nae kuhusu kusubili kuwa mwaminifu au kutumia kondomu". kalikuwa kawimbo kazuri mno
 
Ni kosa mwanamke wangu kushika simu yangu
Yake naikagua sawa, yeye atulie
 
Acha uongo, umalaya na uzinzi ni tabia, msisingizie vingine hapa. Lol
Nakukatalia kwani nimepambana sana hadi kwenye maombi nimekwenda lakini pepo haliondoki. Na ninapozini nikishamaliza huwa napata majuto sana baada ya muda nikiona pisi nyingine natamani tena kuzagamua. Ni ngumu kuelewa lakini wenye tatizo hili wanaelewa ninachozungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…