Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Uongoo.
 
Simu haziwezi kuvuruga uhusiano bali Infidelity ndiyo chanzo kikuu cha uhusiano/ndoa kuvunjika.

Simu ndiyo watu wanatumia kutongozeana kuwasiliana na michepuko na kufuta lakini ukitumia kwa mawasiliano ya umuhimu haiwezi kuvunja ndoa/uhusiano.

Kama hauna mchepuko wala madanga simu itavunja vipi ndoa? Kwanini ufanye Flirting na mtu ambaye huna nia naye? Mwanzo wa Flirting mwisho Uzinzi na ikija kugundulika lazima kila mtu aende na hamsini zake.
 
Ni kweli kabisa mkuu tujitahud tu kuishi kwa uaminifu ili amani na upendo uendelee kuwepo.
 
Happened to me juzi na tupo kwenye kupeana talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…