MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
IMAGINE
Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa kuteleza halafu hawana UTI.
Hali ya hewa ya baridi ikawa iananitesa sana siku moja nikasema nitembee niende mpakani mwa burundi sehemu moja inaitwa mnanila. Pale mnanila nilienda kwa lengo la kutafuta manzi mmoja kwaajili ya ONS sitaki kuficha nilikuwa na upwiru wa hatari. Nimefika mnanila nikatembelea sites kadhaa nikaona hakuna dalili za kufanikiwa, nadhani kwasababu ya ugeni pia hii ilikuwa sababu ya mimi kutopata msupa kwa urahisi.
Dakika za jiooooooni nikatembelea site moja nikaona wasupa kadhaa wamejianika ilikuwa ni lodge moja hivi haikuwa na uzio, nikatimba nikajifanya nauliza vyumba akanionyesha nikauliza na bei pale basi, wakati tupo tunaoneshana vyumba nikajikuta naanza kumuliza kuhusu kampani akanambia yeye ni muhudumu tu pale na hafanyi hizo mambo ila atanikonekti ma makontawa wa hizo kazi.
Nikajivunga nikamwambia mimi siyo kwamba ni mzoefu kwahyo siyo kwamba nahitaji mtu anayejiuza kabisa ila nahitaji mtu tu tueze kuenjoy na kupunguziana vichupa. Akanambia sasa hapo hakuna namna waliopo ni typical prostitutes na wapo kazini. Nikaanza kumuingiza kwenye laini, nikawa namchombeza mwisho wa siku kakubali na akanambia tutumie chumba chake ili incase akiitwa na mteja au boss basi atokee kwenye chumba chake.
Chakushangaza yule mwanamke nikamuliza nimuandalie shingapi akajibu kwamba tutaongea tukimaliza show, alikuwa anaonekana ni mkubwa kidogo kunizidi na alikuwa tayari anawatoto au mtoto. Bwana bwana tukaingia pitch nilikuwa na kichupa kumbe nayeye alikuwa na kichupa cha hatari zaidi yangu. Tulipiga show kama vile tulikuwa tunafahamiana toka kitambo, ni wale wanawake wanaorusha maji kama mashine ya kumwagilia garden. Tulichapa show kudadeki mpka tukahamia chini alikuwa na kigogoro kingine kidogo katandika chini tutakiwasha mpka nikawa natamani nivue kinga niende peku lakini akili haikunisaliti na
naishukuru haikuniacha nijiingize kwenye hatari maybe.
Baada ya kumaliza show tukapiga stories kidogo as if tulikuwa tushafahamiana miaka kadhaa nyumba, nikajikuta nimemuelewa sana na nikawa nahisi kuwa na hisia sana nayeye na alivokuwa anaongea nilikuwa napenda sana hakuwa na nyodo na kizuri zaidi papuchi yake ilikuwa ni laini inauteute usioisha asee naweza sema sijawahi pata penzi kama nililopata siku ile kwa yule dada.
Baada ya kumaliza vistor vya hapa na pale nikampa hela kama 20k guess what kachukua 10k then 10k kanambia niagieze supu ninywe then nyingine nifanye nauli, nilimsihi kwamba hela ninayo nyingine ila kakataa kanambia hakuna shida, basi nikaichukua nikasepa ila kabla sijasepa tukapeana namba za simu.
Nilitoka pale nina furaha sana kwasababu nilijiona siku ile nimepata ladha mpya ambayo nilikuwa sijawahi kuipata asisee. Nikafika kalinzi mikamwambia kuwa nimefika tayari then nikampotezea nikiamini yule dada nayeye ni walewale tu japo kwa namna alivokataa ile hela na kwa yale mazungumzo ya baada ya show nikawa naon akama vile nayeye alikuw ana kichupa na alitaka kukipunguza tu, honestly sikupata picha kamili ya kumhusu yule dada.
Nilikaa kama siku tatu hivi kwasababu ya ubize na mambo mengine nikawa sijamcheki kabisa, kama siku ya nne hivi naona simu inaingia ni yule dada. Nikapokea tukasalimiana then akaniuliza nitaenda lininten mnanila nikamwambia ntaenda tu nipo bize kidogo akaguna akauliza au hauna hela? nikamwambia asee nipo vibaya kidgo siku mbili tatu hizi. Guess what yule dada kanambia wewe njoo tu usiwaze hakunja shida au hata hela ya nauli hauna? nauli kipindi hicho ilikuwa ni kama 3k nikamwambia nauli ipo basi akasema nijiandae niende nitalala hukohuko kuhusu chumba nisiwaze.
Nikajiandaa nikala chuma mpaka mnanila, nilitoka nishakula kabisa kwahiyo sikuwa na mambo mengi, nilikuta ashaandaa chumba kabisa tulienjoy sanaaaa yani sanaaa pengine zaidi ya siku ile ya kwanza. Siku hiyo ndo akanipa stor kumuhusu kwamba ameachana na mumewe, walikuwa wanaishi geita na baada ya kuengana mumewe kachukua mtoto wao na yeye yupo pale ni lodge ya kaka yake kwahyo yupo kumsaidia kuhudumuia tu kwa muda ataondoka kwenda nyakanazi kwao kabisa.
tuliongea mengi nikamwambia pia mambo kadhaa kuhusu mimi then kwanzia hapo ikawa ni kama tunafanya casual dates ila mainly ilikuwa na kwaajili ya sex na kupeana kampani. Kama mwanaume nilikuw najiongeza na vijizawadi kidgo ili kunegesha shows maan akuwa unaipiga tu hata kujali kidogo haujali inakuwa hainogi.
in short mimi na yule dada hisia zili match mpka zikamatch tena na tuli enjoy life to the fullest nilinenepa nayeye akanenepa. Siku nimemaliza mchongo ulonipeleka kule nikawa natakiwa kuondoka asap kiukweli alilia kabisa ila tuka ahidiana kutokupotezana. Yule dada mayeye hakuchukua muda akarudi kwao nyakanazi na tulikuwa tunawasiliana sana tu ila ghafla akaja kupotea hewani asee mpka leo nina huzunika kumpoteza yuel dada, please kama umo humu naomba uje pm.
HISIA ZINA NGUVU SANA ASEEE.