Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

Bora enzi hizo ulikua kijana ila saivi nakuhakikishia hiyo mma itageuka mafuriko ikitokomeze huko mto kagera
Hahaha, nimecheka sana!! Kwa hiyo unadhani uzee wangu hauna maajabu tena mjukuu😁
 
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…upo vizuri, sema sasa ni kama umevaa koti jipya ukavua la zamani mjukuu!!
Wewe sio kwanza kusema hivyo
Sijui why hua mnawaza hivyo šŸ™„
Mimi ni ingizo jipya🫰
 
Back
Top Bottom