Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

Ungekua umechukua japo account zake za kwenye social media coz simu inaweza kuibiwa na mtu akapoteza contact zote,

Rudi tena kwenye ile Gesti lazima utakuta kuna watu wana info zake,coz ile ni Gest ya Kaka yake kama alivyokwambia,

Au kurahisisha tafuta contact za hiyo Gesti upige simu umuulizie kwa jina lake,

Ila umuoe acha uzinzi Mkuu.
 
Hayupo nilirud 204 mwez wa6 hayupo na kaka ake ni ngumu kumpata pale
 
Hongera, ulipata kitu chema, muhimu sana kufurahia maisha na kuwa na kumbukumbu nzuri kwenye maisha.

Fanya namna umtafute, huenda ndio soul mate wako.

Hadithi yako inanikumbusha miaka hiyo huko Bukoba.
 
Sio mhadithiaji mzuri mjukuu wangu, ila hadithi yangu na yake zinashabihiana. Si unajua kule bukoba wanavyorusha mma😁
Bora enzi hizo ulikua kijana ila saivi nakuhakikishia hiyo mma itageuka mafuriko ikitokomeze huko mto kagera
 
Back
Top Bottom