Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo,.
Ebu tulia kwanza, unataka kusema hili jibu lake haujaliamini au ni kiburi chako tu.

We hujiongezi kwenye kikundi cha ushauri ni kina mama na bibi tu, wanaume wamekaa kimya maana wanajua jinsi ya kushughulikia hizo mambo.

Mwacheni jamaa akute ananoa kisu huku akimsubiri ng'ombe wake arudi.
 
Uncle wako na ndugu zake wote wana matatizo. Ushauri kwa muolewaji ni kuwa pona yake ni kujitenga na hiyo familia yenu na masuala ya NDOA aachane nayo.
Na hii ndio mbaya sana,. Familia nzima tutaonekana hatuna akili sababu ya mjinga mmoja tu,. Na sio kwamba haambiwi au haelekezwi na wakubwa hapana ni mkaidi tu
 
Hii sio sawa,. Kweli kabisa sio sawa basi tu yaani
 
Aisee,wa kunusuru hiyo hali ni bibi
Maana kama ni mkorofi kwa namna yeyeyote ile hawezi mpiga bibi.

Bibi awaite bint na kijana awaambie live maana ikija kutokea tofauti ni aibu ya ukoo.
 
Ila inategemea na makubaliano yao kati ya anco na huyo mdada, huenda anajua kuwa yeye ni km mchepuko tyuuh. Ko sio ishu sana

Ila km ni tofauti inaweza ikawa shida, lakini sio kivilee, mtu ana move on na maisha yanaendelea.

Kudate sio lazima, kuoa na kuolewa nae, mbna iko hivyo dear.
 
Ila nyie kuna watu hawaogopi kitu,. Labda kama wawe wamekubaliana kama unavyosema
 
Wala sio waajabu ,ajabu ni wewe kushangaa jinsi mwamba anakwepa punyeto huku akimsubiria mke wake mtarajiwa aliyepo nnje.
Ngoja kwanza tuone itakavyokua,. Shida sio yeye kuchepuka shida ni anafanya hadharani na hajali huku si kuwavinjia heshima ndugu zake jamani
 
Kama ulivyosema hizi ni tabia za mvuta bange...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…