Hapana mkuu mbn umeniuliz ivooo
Ni ww tu,, hata umpe mchepuko wakoHahah alafu niichome kaama goodluck gzbt ๐
Huyo mrembo amenielewaMuulize Cute bebz vizuri
Kinyerezi unapajua lakini?Nilichogundua watu wengi hawajui kuwa kinachouzwa hapo ni eneo na wala sio nyumba.
Ingeweza kuwa ni nyuma ya tope lakini kinachoangalia ni location na potential ya eneo.
๐๐๐B au AKinyerezi unapajua lakini?
Anasupport eneo kuuzwa 35M, atujibu anapajua kinyerezi๐๐๐๐B au A
Au kisewe anapajua ๐๐Anasupport eneo kuuzwa 35M, atujibu anapajua kinyerezi๐
Unajua maana ya neno "potential". Mimi Dar sipajui lakini eneo kuuzwa hiyo bei sio ajabu fika ukaone kuna potential gani mpaka kuuzwa hiyo bei.Kinyerezi unapajua lakini?
Upo sahihi mkuu, kinachouza nyumba sio jengo, ni eneo hasa kwa nyumba kama hiyo ya kawaida.Nilichogundua watu wengi hawajui kuwa kinachouzwa hapo ni eneo na wala sio nyumba.
Ingeweza kuwa ni nyuma ya tope lakini kinachoangalia ni location na potential ya eneo.