Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

ndugu ni vizuri ufahamu kanuni na sheria zinavyoendeshwa,kwanza hutolewa hukumu na baadae ndio hutolewa mwenendo wa shauri ili kujua kwanini uamuzi wa hivyo umetolewa
 
Nashangaaa
 
Ushabiki mbaya Sanaa. Ebu onesha 1
 
ndugu ni vizuri ufahamu kanuni na sheria zinavyoendeshwa,kwanza hutolewa hukumu na baadae ndio hutolewa mwenendo wa shauri ili kujua kwanini uamuzi wa hivyo umetolewa
Kwa uamuzi wa kwanza hawakufafanua chochote, kwa uamuzi huu hutasikia ufafanuzi wowote yani hakuna watakachofafanua zaidi ya kuandika juu juu tu eti hojA hazina mashiko lkn hojA hakuna anayezijua huo sio uhuni kweli.
 
Nendeni CAS kwanini asa mnaaishia kuliia lia na kutia huruma
 
Fei toto sio mjinga kama mpaka amefikia hatua hyo kuna shida ila viongozi wanaogopa kusema kuna shida kwasababu ya mashabiki.
 
Kwanini mtu una amua kujidharirisha hivi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni kiwango cha juu cha ujinga.
 
Kwani taarifa ya tff si imesema ufafanuzi watapewa kila upande wakimaanisha upande wa fei toto na upande wa yanga, labda na utwambie ulitaka upewe wewe kama nani
 
Hiki ni kiwango cha juu kabisa Cha umbumbumbu
 

Sasa fei na siasa wapi na wapi n threat ipi kwa wanasiasa jaman
 
Umeongea ukweli mtupu ambapo fei akiiona hi comment ajitafakari kbla hajaamua kwenda uko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…