TFF wanatumiwa na wanasiasa, hili halina ubishi, ni wajinga pekee wasioona hili na kuamua kujiliwaza kwenye kivuli cha hisia.
Kila siku wakitoa taarifa kuhusu maamuzi ya hili suala, lazima watoe taarifa nusu, nusu nyingine itatolewa jumatatu, hizi haraka zinazowafanya watoe taarifa nusu nusu ni za nini?
Tuna watendaji wa hovyo sana kwenye shirikisho la mpira wetu, pale TFF panatakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa, wale watendaji waliopo ni corrupt, na wanafanya kazi kwa mahaba, badala ya kufuata sheria na taratibu.
View attachment 2535607