Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.

Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.

Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.

Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hoja zipi kuvunja mkataba na kwanini hoja zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?

Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.
ndugu ni vizuri ufahamu kanuni na sheria zinavyoendeshwa,kwanza hutolewa hukumu na baadae ndio hutolewa mwenendo wa shauri ili kujua kwanini uamuzi wa hivyo umetolewa
 
TFF wanatumiwa na wanasiasa, hili halina ubishi, ni wajinga pekee wasioona hili na kuamua kujiliwaza kwenye kivuli cha hisia.

Kila siku wakitoa taarifa kuhusu maamuzi ya hili suala, lazima watoe taarifa nusu, nusu nyingine itatolewa jumatatu, hizi haraka zinazowafanya watoe taarifa nusu nusu ni za nini?

Tuna watendaji wa hovyo sana kwenye shirikisho la mpira wetu, pale TFF panatakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa, wale watendaji waliopo ni corrupt, na wanafanya kazi kwa mahaba, badala ya kufuata sheria na taratibu.View attachment 2535607
Nashangaaa
 
Mwanzo ulikuwa unasema Fei kaonewa sasa umebadili Gia unaanza kusema huenda ukweli Fei kakosea.

Jamaa unahangaika Sana na hii ishu na bahati mbaya Sana unatumia jina lako na kiuhalisia unajivua nguo tu. Nakushauri achana na hili

Unahisi TFF yote hakuna mwanasheria nguli na unawazidi wote? Au unahisi mara zote 2 vikao tofauti vya TFF vimekuwa comprised?
Ushabiki mbaya Sanaa. Ebu onesha 1
 
ndugu ni vizuri ufahamu kanuni na sheria zinavyoendeshwa,kwanza hutolewa hukumu na baadae ndio hutolewa mwenendo wa shauri ili kujua kwanini uamuzi wa hivyo umetolewa
Kwa uamuzi wa kwanza hawakufafanua chochote, kwa uamuzi huu hutasikia ufafanuzi wowote yani hakuna watakachofafanua zaidi ya kuandika juu juu tu eti hojA hazina mashiko lkn hojA hakuna anayezijua huo sio uhuni kweli.
 
Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.

Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.

Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Nendeni CAS kwanini asa mnaaishia kuliia lia na kutia huruma
 
Fei toto sio mjinga kama mpaka amefikia hatua hyo kuna shida ila viongozi wanaogopa kusema kuna shida kwasababu ya mashabiki.
 
Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.

Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.

Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Kwanini mtu una amua kujidharirisha hivi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.

Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.

Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Hiki ni kiwango cha juu cha ujinga.
 
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.

Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.

Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.

Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hoja zipi kuvunja mkataba na kwanini hoja zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?

Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.
Kwani taarifa ya tff si imesema ufafanuzi watapewa kila upande wakimaanisha upande wa fei toto na upande wa yanga, labda na utwambie ulitaka upewe wewe kama nani
 
Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.

Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.

Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Hiki ni kiwango cha juu kabisa Cha umbumbumbu
 
TFF wanatumiwa na wanasiasa, hili halina ubishi, ni wajinga pekee wasioona hili na kuamua kujiliwaza kwenye kivuli cha hisia.

Kila siku wakitoa taarifa kuhusu maamuzi ya hili suala, lazima watoe taarifa nusu, nusu nyingine itatolewa jumatatu, hizi haraka zinazowafanya watoe taarifa nusu nusu ni za nini?

Tuna watendaji wa hovyo sana kwenye shirikisho la mpira wetu, pale TFF panatakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa, wale watendaji waliopo ni corrupt, na wanafanya kazi kwa mahaba, badala ya kufuata sheria na taratibu.View attachment 2535607

Sasa fei na siasa wapi na wapi n threat ipi kwa wanasiasa jaman
 
Akupitishie wewe au?..

Unachoona wewe kwamaba pale kuna wababaishaji yaani?.. Haufahamu pia kuna wanasheria na wana uzoefu na mikataba na kesi hizi eeeh.

Lini ulisikia kitu kama hicho toa TFF kuwa kilipoenda CAS kikabadilika..

Kwa taarifa yako sikumbuki ni lini CAF au CAS ilishatengua maamuzi ya TFF
Umeongea ukweli mtupu ambapo fei akiiona hi comment ajitafakari kbla hajaamua kwenda uko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.

Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu...
7E097C94-F00A-47F5-8680-13FD7E5C928A.jpeg
 
Back
Top Bottom