Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu...
Kumbe na wee ni mjinga kama mleta mada, mama Samia Au kikwete anausika VIP na upuuz wa fei na genge lake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Fei toto sio mjinga kama mpaka amefikia hatua hyo kuna shida ila viongozi wanaogopa kusema kuna shida kwasababu ya mashabiki.
Wewe ndio Mjinga, maana Fei amesema shida yake na Uongozi wametoa ufafanuzi, we jamaa hukalii kuni lakini???
 
Mi sio mwana sheria, ila kwa mtazamo wako na ujuvi wako unafikiri Fei angeshinda hii kesi? Hata angekua katokea upande wa pili asinge shinda ,Hii ni Tz mkuu
 
Wewe ndio Mjinga, maana Fei amesema shida yake na Uongozi wametoa ufafanuzi, we jamaa hukalii kuni lakini???
Nakalia mkuu tena namzidi yule afande wa zanzibar
 
Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.

Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.

Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
tahila moja wew
 
Uzuri haya mambo TFF sio watu wa mwisho. Breach ama termination of contract ina madhara yake.

Tff wamekuwa kama wanamlazimisha mwanafunzi wa primary aende shuleni.

Wanasahau a university student anaweza amua ishia sehemu yeyote akaenda kufanya mambo mengine.

Waambie yanga, kijana amevunja mkataba kimakosa. Adhabu zake zipoje.

Kama mkataba upo kimya basi wamuache fei aende zake wachukue hizo hela alizolipa fei.

Yanga wataweza kukosa vyote.
 
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.

Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.

Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.

Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hoja zipi kuvunja mkataba na kwanini hoja zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?

Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.

Yani hii kesi ya Yanga na Fei, ni sawa na kesi ya: Kupanda Bus la Bagamoyo ukiamini utatokea posta wakati lipo Kerege, hata kumsikiliza Fei Toto ni kumpendelea..
 
Kwa Heshima Kubwa niliyopewa na huu Mtandao wa JamiiForums na kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyoupenda huu Mtandao nimeamua hii Exclusive ianzie hapa na ukiiona ina trend Kwingineko jua imekopiwa hapa JamiiForums na imetoka Kwangu Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na najua nitaendelea Kushinda mpaka nitakapochoka Mwenyewe au pale akina Greatest Of All Time watakaposalimu Amri Kwangu Kudadadeki.

Sasa naanza.....

Ukweli ni kwamba wala Mchezaji Fei Toto ( Feisal Salum ) hatakowi na sijui Azam FC au Simba SC.

Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) anatakiwa na Klabu Moja nchini Uturuki ( Turkey ) kwa Kiasi cha Shilingi Milioni 500 ila Viongozi wa Yanga SC waliikataa hiyo Hela.

Na hii ni mara ya Pili Viongozi wa Klabu hiyo maarufu huko nchini Uturuki ( Turkey ) kuja nchini Tanzania kumhitaji Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ila Uongozi wa Yanga SC umewataka Walipwe ( Wamnunue ) kwa Shilingi Billioni 2 au Billioni 1.5 ila Jamaa wa Uturuki wamekomaa / walikomaa na Shilingi Milioni 500 yao.

Ni kwamba Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) angeenda katika Klabu hiyo nchini Uturuki ( Turkey ) angekuwa analipwa Mshahara wa Shilingi Milioni 90 au Milioni 80 kwa Mwezi.

Mratibu wa Jambo hili lote ni Bwana Abedi ( Abeid ) ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Mafuta cha Camel Oil na hata Waturuki hawa wanamtumia kama Mtu Kati wao kwakuwa tu anajuana na Wakubwa wa Vilabu hivi Viwili vya Yanga SC na Simba SC.

Mwisho ni kwamba bahati mbaya pekee aliyonayo Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ni kwamba achilia mbali Kutokuelewana Kwake na Uongozi wa Yanga SC ila pia Kumetokea na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi huko nchini Uturuki ( Turkey ) ambalo limeathiri mno Uchumi wa Taifa hilo na huenda likaathiri pia hata Uchumi wa Vilabu vingi Vikubwa vya nchini humo hivyo kuwa Kikwazo Kwao hata katika Kumsajili Mchezaji huyo hali ambayo nina uhakika Kisaikolojia itakuwa imemuathiri sana na asipotuliza Akili au hata kupatiwa Msaada wa Kisaikolojia hali inaweza kuwa mbaya Kwake.

Haya wale mliozishutumu Klabu za Azam FC na Simba SC kuwa nyuma ya Sakata hili la Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) huku Wapuuzi Wengine hadi mkapanga Kugomea Kununua au Kutumia Bidhaa za Tajiri Mmoja mwenye Klabu yake fanyeni upesi au itisheni Press Conference muwaombe / muviombe Radhi.

Nimemaliza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
 
Yaani timu iwe na uwezo wa kulipa mshahara wa milioni 90 kwa mwezi lakini ishindwe kutoa bilioni 1.5 ya kununua mchezaji.
Inakua ngumu kumeza, mfano chukulia timu hiyo inalipa flat rate 90mil kwa wachezaji 11 tu ambapo ukizidisha 90x11 unapata 990 mil. Hapo bado kocha hajalipwa Dr nk.

Iweje washindwe kulipa 1.5 b? Oya pompoma kuya pande hii utoe maelezo.
 
Back
Top Bottom