Ila wanaume na nyie mnataka nini?

KumekuchaπŸ™ŒπŸΎ
 
Uwe me au ke.
Namna pekee ya kuwa nje ya complications za mapenzi na mahusiano ni KUJITEGEMEA
Simaanishi kipesa/fedha tu bali zaid kifikra.
Kwamba we ni mtu kamili kabla hajawepo mtu mwingine yoyote.
Wanawake na marioo wanapata tabu sana wanapofungamanisha mapenzi na mahitaji yao ya kiuchumi!
Hasa wanawake wataendelea kuteseka maana hawajaamin dunia imeshaweka mizania ya kuhangaika sawa na kwa usawa!
Mwanamke atakayebaki na falsafa ya ...*nguvu yangu i katika utumwa wangu..*ndiye atakayefaidi mapenz na mwanaume!
HERI MTU YULE AMFANYAYE RAFIKI YAKE KUWA MPENZI/MWENZA!
 
Point
 
Amekuwa mnyonge sana hana furaha😁😁😁😁 shida ya mwanamke ukimuowa anataka akutawale wewe muowaji na mali zako.....Naona alitaka kutumia kigezo Cha kushirikiana kunitawalaπŸ˜‚πŸ˜‚......
Maskini
 
Pole sana dada Anastasia21 ngoja nikushauri kitu kabla ujazaa na mwanaume lazima ujue Kwanza yeye Kama yeye anataka mtoto sio kwa kulazimisha yeye mwenyewe ndio anatakiwa akuambie, ukitaka kujua mwanaume ambaye ana malengo na wewe lazima akutambilishe kwa watu wake wa karibu Kama vile ndugu, Atakuambia kazi anayofanya, atakuheshimu na hata kupa ushauri na kuongoza kwenye Mambo yako binafsi.Suala la kuficha Mambo binafsi either ni changamoto or anything hili lipo karibia wanaume wote, tunaweza kuwashirikisha wanawake wachache hasa wale wenye mchango wa moja kwa moja ambao tunajua kabisa wanajua kushauri vizuri lakini pia wanaweza pia wanamchngo hata wa hela
 
Kumbe πŸ“Œ
 
kwaiyo wakati unampanulia Kei haukujua kuwa kitakachofuata ni nini? mbona wakati mnakulana haukutushirikisha jukwaani hapa! utajua mwenyewe single maza mtarajiwa, sasa jiajiri kwenye ujasiriauchi tu hakuna namna.
Ndio kabisa na michango nakuja kukusanya mnisaidie tule na mwanangu😹
 
Wanaume wote ni mbwa, umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…