Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
- Thread starter
-
- #141
๐น๐๐พAtulie tu awe single maza
Hii mada imenigusa sanaNakupenda pia
Hata Mimi hii kitu inanishangaza wakiambiwa ukiachana na sex Nini kingine Wana offer wanakasirikaKuna watu mna moyo, miaka mi 3 kwenye mahusiano kwani wewe ni degree. HIT & RUN
Kitendo cha wanawake kufikiria kwamba kukupatia mbususu ni kama favour huwa nashindwa kukielewa, maana tumekutana wote tuna hamu, tumejamiiana, sasa mwanaume akiamua ku move on unaanza malalamiko ooh ulikuwa unanichezea etc. WTF??!
kuna nini leo?Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐๐พ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐น๐น๐
Stay focused #2025 #2026#2027.
Anastasia21 njoo hukuHata Mimi hii kitu inanishangaza wakiambiwa ukiachana na sex Nini kingine Wana offer wanakasirika
Upo sahih.Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?๐
Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?๐๐พ
Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?๐
Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!๐น๐น๐
Stay focused #2025 #2026#2027.
hahaha hapo ni wapi๐Wanataka katikati tu huko kuoa ni mpaka wapate wanayemtaka wao
NimekujaAnastasia21 njoo huku
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTatizo ni pale wauzaji mnapojifanya hamuuzi, mnashindwa kueleweka. Mnalubuni wanaume wanajua hapa nimepata mpenzi wa kudumu kumbe ni wale wale wa telegram.
tumia lugha nzuri basi limwanaume ndio nini?Kwa kua na nyie mnazo unakuta limwanaume linaomba msamaha mpaka fua Bado kesho karudi kosa like Kama sio udemu ni nn uwo?
Sawatumia lugha nzuri basi limwanaume ndio nini?
Wanadai wanafaidika na kitu kimoja tu.Nimekuja
Umetumia imagination language kuwa litakuwa lipoje ilo limwanaume ๐๐๐๐tumia lugha nzuri basi limwanaume ndio nini?
Anamtegea!Unapokeaje mimba ya mtu ambaye hana malengo?
Sjui amewaza nini kutumia hilo nenoUmetumia imagination language kuwa litakuwa lipoje ilo limwanaume ๐๐๐๐
Imekuuma sana mkuuSjui amewaza nini kutumia hilo neno