Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Mengine ni kumshukuru mungu t huwez jua kakurpushia na nn .
Sio kila ukionacho ukipate kuna mungu piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimepata kitu hapa
 
Sio namba tu


Mimi chochote kile ninachoamini naweza muomba mtu nikiwa na uhitaji nacho akinipa ni sawa, akininyima pia sina tatizo nae. Mara zote huwa naheshimu sana maamuzi ya mtu
 
Mkuu we uko km mm ni mikausho mikali... Naweza nikaishi sehemu flani hata miaka kumi sitakaa nipige story na demu ambae hajanichangamkia,.... Ukiona demu napga nae story ujue nina bond nae.
 
Mwanaume aliezoea kula pisi kali, hana muda wa kuja jf kuanzisha nyuzi za kuponda wadada kila mara Natafuta Ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…