cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] T-shirt ipii ya JF? nna zawadi za JF ila nlikofichaa cjui nani ataonaa.Kweli umestaafu sa hvi umekua na kasura kaupole kabisa....
Alafu kama nilikua nakuona na tshirt yako ya jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna hako ka diary, ni katamu balaa, nashindwa kukatumia watu watajua mie ni memba wa JF, woiiiih