Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Kampeni za CCM zimeanza leo
Au unaota kampeni za CCM?
Mafanikio ni yake siyo ya Tundu, amafi ndiyo iliyo kibindoni waswaihili wanasemaga!
 
Kama ambavyo wewe umekabidhi kwa malaika mkuu na yesu wa Lugola,ni kusifu,kupamba na kuabudu.
Ni Yesu siyo yesu!

Kama Lugola anamwamini huyu Yesu mwana Wa Mungu wa Nazareth acha nikabidhi akili zangu huko kuliko kukabidhi Lisu
 
Kwa nn hazungumzii uwanja wa ndege wa Chato?

Na mbuga ya wanyama ya Burigi-Chato?
Chato Ni sehemu ya Tanzania mtanzania yeyote anaweza kuishi, kwahiyo kama pako vizuri kahamie chato
 
Huyo labda mungu beelzebuli unayemzungumzia wewe
 
Mkuu najua unatumiwa weledi wako uliotukuka kutetea lakini majuzi Dodoma alitupa muhtasari, hakuyazungumza hayo licha ya kuwa inawagusa watu wengi zaidi katika jamii. Baada ya kuchaguliwa watu wanaskiliza vipaumbele vyako ni nini japo kampeni bado. Lakini iweje ndege iwe muhimu zaidi maana tumeambiwa kuwa zinakuja zingine 5.
 
Kuna wakati wanyama wetu hapa Tanzania walichukuliwa kupekekwa uarabuni na pakistani kutengenezea mbuga huko. Hili kwa vile mmeshikiwa akili na Lissu na kesha walegeza kama mlenda hamliongelei. Bali mwawaonea husda wenzenu wa Chato
Mtu amehoji kwa nini haongelei,sio kwa nini vipo Chato dada.
Kweli wewe ni mwana CCM. Chama chako kweli kimefanikiwa katika kukufukarisha kiakili,kimwili,kiroho na kiuchumi.
 
Kwahiyo ulitaka selikali iache kujenga flyover ije kukununulia wewe chakula mkuu?
Sijasema inunue chakula, hakuna serikali inaweza hilo. Waboreshe maslahi ya watuishi wa umma basi, hakuna anayetaka gari la serikali liwe linapita na wali maharage. Hamuoni hata aibu mnavyowafanyia watumishi? Mkuu mnajitia upofu au ndio ilimradi lakini moyoni unajua uhalisia. Mtumishi hajapanda daraja hilo flyover linamsaidia nini. Hivi una ndugu ambao ni watumishi kweli
 
eti ataongeza madege mengine matano tena kwa cash 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ni bora hata angeahidi kuweka pazia mlima Kilimanjaro hayo mandege hata hatuyapanda hatuna hela.
 
Udhaifu katika kutengeneza hoja ni kilio kingine.
 
Lissu anataja taja risasi tu kila anapopanda kwenye jukaa as if dunia hii yeye pekee ndio alowahi kupigwa risasi, mshauri mgombea wako kwanza na mwambie kuwa Watanzania tumechoka habari zake za mirisasi.
Humfahamu Mzee Tupatupa (VUTA-NKUVUTE)
 
Huyo labda mungu beelzebuli unayemzungumzia wewe

Ambaye ndiye wewe umeweza kumchunguza mambo yake yule mfalme pepo la mainzi na warukao. Mimi ni naye mzunguzia ni Jehova!! Ambaye mambo yake huta ya jua na wala haya chunguziki bila ya msaada wake yeye mwenyewe.
 
Sijasema inunue chakula, hakuna serikali inaweza hilo. Waboreshe maslahi ya watuishi wa umma basi, hakuna anayetaka gari la serikali liwe linapita na wali maharage
Kwahiyo waendelee kuwajazia watumishi mishahara tu huko kwingine kusubiri kwanza siyo?

Ungesema kosa la Magufuli ni kutoongeza mishahara kwa nyie mlioajiriwa ambao ni kama asilimia 2 ya watz wote.

Lakini kusema eti kajenga flyover badala ya nyie kuongezewa mishahara unaonekana hoja yako iko butu.

Na kama hii hoja Lisu akiendelea nayo kwenye kampeni atapata kura 2% ya hao wafanyakazi alafu rundo la watu waliojiari na kufaidi matunda ya flyover watampigia JPM.
 
Mtu amehoji kwa nini haongelei,sio kwa nini vipo Chato dada.
Kweli wewe ni mwana CCM. Chama chako kweli kimefanikiwa katika kukufukarisha kiakili,kimwili,kiroho na kiuchumi.

Utajiri wa kweli ninao tena ule utokao kwa Mungu, sina haja na huu wa kidunia wa mizimuni. Ninao tele jua hilo kama ulikuwa hujui. Nime mjibu kwa nini haongelei? Sina hakika kama JF ni home of great thinkers bado. Ima ni home of great vihiyoz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…