Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Mwamba mbona una hasira hivi😊 .mi nimeingiaje Sasa hapo?Bikira ni muhimu na heshima kubwa sana kwa mwanamke. Nitoe mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta binti ashatumika? Kama haujaolewa na aliekutoa bikira usitafute justification ya kuahalalisha ukicheche wako. Suala la kujitambua hata mwenye bikira anaweza kuwa anajitambua tena uyo ndio mfano mzuri maana kaonesha mfano kwamba mwili wake sio wa kuchezewa ovyo na wanaume, suala la kutoa kote hata asiekua na bikira anaweza kutoa pia.
Unanijua ama nakujua?
What if I'm still a virgin halafu unanitukana?
Basi sawa maoni yako nimeyasoma na yana make sense..uko sahihi