Haya ni maneno yaliyoandikwa na mwanamke asiyekaa chini kufikiri.hahahaha,, thamani ya ubikra n kwa wanaume wa zaman waliojitambua sio kwa nyie wasasa😎
Wewe watoto wako wa kike wakikua una jambo gani la kuwafundisha kuhusu kujitunza?
Nakuambia saa inakuja yanayotokea Ulaya yatakuja Tanzania na watoto wenu msiowafundisha thamani ya kuwa mabikra watakuwa wahanga wakubwa.