Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

Wanawakd kila siku wanaolewa na bikra wala sio factor inaangaliawa. Vijana wenyewe wa hovyo halafu wanatarajia kuwa na wanawake waliojitunza, watawapata wapi ? Kwanza siku hizi kigezo cha kupata mke sio kuwa bikra tena.
Ni kwako sio kigezo.
Ila kwa wanaume wengine, ni kigezo kikubwa.
 
Sema kwako wewe, ila walio wengi bikra sio kigezo. Ingekuwa kigezo wangewaoa waliowatoa bikra.
Ndo maana wamesababisha maafa , wamewatengeneza wanawake ambao hawaheshimu waume zao, wako traumatized na hawako committed.

Yaani mi mpaka kuamini kuwa wasio bikra ni bora labda nimuone mwanamke wa kunibadilishq mtazqmo. Ila wengi mahusiano yao ya nyuma yameharibu akili zao, drama tupu.
 
Kuna dada alijitunza hadi akafikisha above 25yrs na bado aliyembikiri hakumuoa na hakumtaka twna baada tu ya kumbikiri kwa kutumia nguvu. Sometimes anajutia hata kwanini alijitunza. Wasio na bikra wanapata waume wa maana tena wanatulia na ndoa zao
Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisia
 
Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisia
Kwamba hakuna aliyefikisha umri huo au unamaanisha nini?

Nikwambie tu, mambo ya ndoa yana siri nyingi. Na ndio maana wadada wengi kama sio kukesha kwenye maombi ya kupata waume wema kwenye nyumba za ibada, basi ni kutambika kwa waganga.

Kuna wasichana wana kila haiba ya mke mwema lakini wanaume hawamuoni, ashatupiwa nuksi pamoja na kujitunza na bikra yake, anaishia kuwa mchepuko mwishowe anabaki kuwa single mother.

Mi huwa nasema ni afadhali Mungu angetuumba kama alivyofanya kwa adam na hawa. Ukizaliwa tu unajua adam wako huyu hapa. Hakuna sababu ya kuanza kutafutana mara kutongozana, sijui kubembelezana,, kupotezeana muda
 
Kuna wasichana wana kila haiba ya mke mwema lakini wanaume hawamuoni, ashatupiwa nuksi pamoja na kujitunza na bikra yake, anaishia kuwa mchepuko mwishowe anabaki kuwa single mother
Lanlady kuwa mkweli ktk hoja zako. Kuna pahala unatuingiza chaka. Wasichana wanaolala na wanaume wengi (waliotolewa bikra) kabla ya ndoa ndiyo wanaochota mikosi . Waliojitunza huwa wanagombaniwa na waoaji
 
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.

Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .

View attachment 2993780
Pemba wanatunza sana tu. Sema ya mbele tu
 
Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra.

Lkn kama huna bikra maana yake malezi yako hayakuwa mazuri, na wewe mwenyewe utakuwa si mwanamke mwenye thamani kwa sasa.
Sijaona kwenye jamii tunazoishi kwa sasa mtu anaheshimika sababu eti aliolewa yuko bikra. Mtu anaheshimika kwa mchango wake chanya kwenye jamii.
 
Ndio hapo nashangaa, ujitunze then unaangukia kwa aliyekitembeza hatari. Na akikuoa hataacha kuchepuka
Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja.

Kwahiyo ndiyo maana ktk jamii zetu mwanaume anayechepuka anaitwa kidume, lkn mwanamke anayechepuka anaitwa malaya.

Ktk amri 10 za Mungu, mojawapo inasema "usitamani mke wa jirani yako". Maana yake ni kwamba mwanaume kutamani wanawake imeruhusiwa isiookuwa asiwe wa mke wa jirani.
 
Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja.

Kwahiyo ndiyo maana ktk jamii zetu mwanaume anayechepuka anaitwa kidume, lkn mwanamke anayechepuka anaitwa malaya.

Ktk amri 10 za Mungu, mojawapo inasema "usitamani mke wa jirani yako". Maana yake ni kwamba mwanaume kutamani wanawake imeruhusiwa isiookuwa asiwe wa mke wa jirani.
Usizini inamlenga nani kama sio wote?
 
Ipo tayari, ila sio katika mfumo unaotaka wewe, bikira akijulikana thamani yake inapanda.
 
Ipo tayari, ila sio katika mfumo unaotaka wewe, bikira akijulikana thamani yake inapanda, wengi wanaoa " used".
 
Back
Top Bottom