Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Mwamba mbona una hasira hivi😊 .mi nimeingiaje Sasa hapo?Bikira ni muhimu na heshima kubwa sana kwa mwanamke. Nitoe mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta binti ashatumika? Kama haujaolewa na aliekutoa bikira usitafute justification ya kuahalalisha ukicheche wako. Suala la kujitambua hata mwenye bikira anaweza kuwa anajitambua tena uyo ndio mfano mzuri maana kaonesha mfano kwamba mwili wake sio wa kuchezewa ovyo na wanaume, suala la kutoa kote hata asiekua na bikira anaweza kutoa pia.
Mungu sio mjinga kuweka hymen kule chini.Kuwa bikra sio kigezo Cha uke wema na maadili.
Kujitambua ndio kunasaidia.
Unaweza ukaoa bikra lakini baba mwenye nyumba akammendea na kunitambulisha kwenye ulimwengu tofauti akanogewa akaanza kulalwa hovyo na kukuletea watoto sio wako.
Unampa soda ya fanta wenzio wanamuonjesha mirinda nyeusi😊 ananogewa anataka kote.
Kikubwa ni kujitambua mtu binafsi ajue yeye ni nani nayuko kwenye nafasi gani.aheshimu viapo vyake na mahusiano yake basi.kuoa bkra haimaanishi hatokitana na vishawishi,na kujitambua ndio kitasaidia kuvivuka na kubaki loyal.
Soma maoni yangu vema.sijasrma kokote bikra haina maana Wala thamani.bali nimetoa maoni kwamba mwanamke kuwa bikra Hadi ndoa sio kigezo kwamba yeye atakuwa mtulivu na mwenye maadili ndoani.Mungu sio mjinga kuweka hymen kule chini.
Mwanamke asiye na ufahamu ndo atasema ubikra hauna thamani, thamani kuu ya mwanamke ni ubikra maana inaonyesha alikuwa na malezi na tabia njema.
Ndio maana hata Mungu alimchagua mwanamke bikra kumleta Yesu duniani, ubikra ni usafi, hakuchagua asiye bikra.
Ila kuolewa bikra ni fahariKuwa bikra sio kigezo Cha uke wema na maadili.
Kujitambua ndio kunasaidia.
Unaweza ukaoa bikra lakini baba mwenye nyumba akammendea na kunitambulisha kwenye ulimwengu tofauti akanogewa akaanza kulalwa hovyo na kukuletea watoto sio wako.
Unampa soda ya fanta wenzio wanamuonjesha mirinda nyeusi😊 ananogewa anataka kote.
Kikubwa ni kujitambua mtu binafsi ajue yeye ni nani nayuko kwenye nafasi gani.aheshimu viapo vyake na mahusiano yake basi.kuoa bkra haimaanishi hatokitana na vishawishi,na kujitambua ndio kitasaidia kuvivuka na kubaki loyal.
Mkiwa mnaongea haya nkumbuke wengine ni wahanga wa mateso ya utotoni na kubakwa..nao tuwaongelee vipi.Ila kuolewa bikra ni fahari
Hata akiyavurunda huko walau.
Agano la kudumu bubu linawatesa sana wanawake
Kumbuka mwanaume anayepewa bikra ndiyo mume wa kudumu maisha yote ktk mwili hata akiachika damu ni sadaka ya agano la kudumu ukimegwa bikra vichakani unajipa mateso kiroho, kimwili na kihisia milele
Haipo na haitatokea hiyo ni Imani yako lkn kitu kinabaki milele. Na ndiyo maana Wana waisrael waliambiwa wasioe asiye bikra Kwa sababu hiyoMkiwa mnaongea haya nkumbuke wengine ni wahanga wa mateso ya utotoni na kubakwa..nao tuwaongelee vipi.
Btw damu ya Bwana Yesu Kristo ipo na inaweza kufuta maagano yote.uliyoshiriki Wala kutoshiriki.kwa kujua ama kutokujua.
Iyo milele yako Baki nayo mwenyewe.
Kutofautiana kimtazamo sio hasira. Umehalalisha mwanamke kutokua na bikira kwa kutumia sifa ambazo yoyote (asiyekua na bikira au mwenye bikira) anaweza kuwa nazo au asiwe nazo ndio maana nikakupinga, ukweli unabaki pale pale mwanamke mwenye bikira ni kielelezo cha mwanamke aliejitunza na kuthamini utu wake, natanguliza pongezi kwako kama u bado bikira. Nakushukuru kama tumeelewana.Mwamba mbona una hasira hivi😊 .mi nimeingiaje Sasa hapo?
Unanijua ama nakujua?
What if I'm still a virgin halafu unanitukana?
Basi sawa maoni yako nimeyasoma na yana make sense..uko sahihi
Usifosi niamini unachoamini.nami sikufosi..unaongelea agano la kale wakati torati iliendelezwa to agano jipya..Haipo na haitatokea hiyo ni Imani yako lkn kitu kinabaki milele. Na ndiyo maana Wana waisrael waliambiwa wasioe asiye bikra Kwa sababu hiyo
Na ilikuwa Sheria mwanamke akishutumiwa siyo bikra na mume baba mzazi asipothibitisha anapigwa mawe na kufa ili kuondoa ukahaba ktk Israeli.
Utaokoka vyema lkn hakuna kitu kinachobadirika kwamba damu ya yesu itakusafisha na kukuletea bikra nyingine hiyo sahau kama ambavyo haifutiki hiyo ndivyo angano la bikra jalifutiki
Hahaha ukiona umeumia jua dawa imeingiaUsifosi niamini unachoamini.nami sikufosi..unaongelea agano la kale wakati torati iliendelezwa to agano jipya..
Na unavyoiongelea damu ya Yesu kwamba eti itakusafisha na kukuletea bikra mpya nimekuona chizi,ni wapi nimeandika inaleta bikra upya? Mwendawazimu Nini wewe?
Nimeongelea kulifuta agano na kutoa msamaha.
Kwa uliyoandika hapo kuhusu damu ya Bwana aisee naomba tuishie tuishie hapa.uainiquote na sitokujibu Tena.
wanajichanganya wenyewe,, kelele kila siku bila kusahau wao ndo watoboa toboHawaeleweki wanataka Nini,😆😆Kama tabia huanzia utotoni tuwafunze watoto wa kiume pia kutochovya buyu la asali wakiwa wadogo,,,😆😆😆 mtoto wa kiume sikuhizi unakuta Yuko bize kutoa bikra za mabinti alafu baadae akija kuoa anataka aoe bikra😆 bikra which?
Nimesoma maoni yako , umesema unaweza ukaoa bikra na baba mwenye nyumba akatembea naye, una ushahidi? Kwa maneno yako umeandika indirectly kuwa past ya mwanamke haimatter, eti kujitambua.Soma maoni yangu vema.sijasrma kokote bikra haina maana Wala thamani.bali nimetoa maoni kwamba mwanamke kuwa bikra Hadi ndoa sio kigezo kwamba yeye atakuwa mtulivu na mwenye maadili ndoani.
Tunaweza kuwa na kizazi chenye maadili kisichoshiriki tendo mpaka watapoolewa.lakini je wakishaingia ndoani ni kipi kitahitajika kuendelea kutunza kizazi chema chenye uadilifu kama sio kujitambua?
Kama hajitambua na Hana elimu ya kujitambua anaweza kuingia kwenye mambo maovu na hata ndoa kuvunjika.
Bikra ni njema lakini kujitambua ndio Kila kitu,maana mlango unakuwa umefunguliwa,yeyote anaweza kumruhusu apite akiamua na mume usijue.tofauti na kabla hakuweza sababu alihofia mlango umefungwa patavunjwa then mume unakuta uko wazi..
Suala la msingi ni kujitambua,ye ni mke wa mtu,halal ya mume na si yeyote.na kutoruhusu mtu kuingia hata kama mlango uko wazi,bado anaestahili kupitia ni mume pekee alieufungua.
Bila kujitambua tutakuwa na kizazi chema Cha wasichana wenye maadili lakini wake za watu wa hovyo.
sijui unanielewa lakini?
Kabisa .Kutofautiana kimtazamo sio hasira. Umehalalisha mwanamke kutokua na bikira kwa kutumia sifa ambazo yoyote (asiyekua na bikira au mwenye bikira) anaweza kuwa nazo au asiwe nazo ndio maana nikakupinga, ukweli unabaki pale pale mwanamke mwenye bikira ni kielelezo cha mwanamke aliejitunza na kuthamini utu wake, natanguliza pongezi kwako kama u bado bikira. Nakushukuru kama tumeelewana.
Ipo waziKwa hii nchi navyoijua wasio na bikra ndo watakuwa washindi kwa kuwahonga watoa tuzo,..... Watahonga nini kila mtu anaelewa.
Kabsa mkuuIpo wazi
Kwann ukubali kutolewa bikra kizembe hivyo?yani utafikiri izo bikira tunajitoa na vibunzi, kumbe wanaolalama ndo hao wanaotutoa,,mxiuuu
we kwanin uje kuniomba mzigo?Kwann ukubali kutolewa bikra kizembe hivyo?
Mwenye ridhaa ya kutoa ama kutokutoa mzigo ni msichana. Akiwa anatambua thamani ya ubikra wake akaamua kukataa, basi bikra itaendelea kuwepo.we kwanin uje kuniomba mzigo?
Thamani ya ubikra ikoje kwanza?Mwenye ridhaa ya kutoa ama kutokutoa mzigo ni msichana. Akiwa anatambua thamani ya ubikra wake akaamua kukataa, basi bikra itaendelea kuwepo.