Ni kwako sio kigezo.Wanawakd kila siku wanaolewa na bikra wala sio factor inaangaliawa. Vijana wenyewe wa hovyo halafu wanatarajia kuwa na wanawake waliojitunza, watawapata wapi ? Kwanza siku hizi kigezo cha kupata mke sio kuwa bikra tena.
Sema kwako wewe, ila walio wengi bikra sio kigezo. Ingekuwa kigezo wangewaoa waliowatoa bikra.Ni kwako sio kigezo.
Ila kwa wanaume wengine, ni kigezo kikubwa.
Ndo maana wamesababisha maafa , wamewatengeneza wanawake ambao hawaheshimu waume zao, wako traumatized na hawako committed.Sema kwako wewe, ila walio wengi bikra sio kigezo. Ingekuwa kigezo wangewaoa waliowatoa bikra.
Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisiaKuna dada alijitunza hadi akafikisha above 25yrs na bado aliyembikiri hakumuoa na hakumtaka twna baada tu ya kumbikiri kwa kutumia nguvu. Sometimes anajutia hata kwanini alijitunza. Wasio na bikra wanapata waume wa maana tena wanatulia na ndoa zao
Kwamba hakuna aliyefikisha umri huo au unamaanisha nini?Hizi ni stori za vijiweni hazina ukweli na uhalisia
Lanlady kuwa mkweli ktk hoja zako. Kuna pahala unatuingiza chaka. Wasichana wanaolala na wanaume wengi (waliotolewa bikra) kabla ya ndoa ndiyo wanaochota mikosi . Waliojitunza huwa wanagombaniwa na waoajiKuna wasichana wana kila haiba ya mke mwema lakini wanaume hawamuoni, ashatupiwa nuksi pamoja na kujitunza na bikra yake, anaishia kuwa mchepuko mwishowe anabaki kuwa single mother
Interesting π€Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .
View attachment 2993780
Pemba wanatunza sana tu. Sema ya mbele tuTuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .
View attachment 2993780
Ndio hapo nashangaa, ujitunze then unaangukia kwa aliyekitembeza hatari. Na akikuoa hataacha kuchepuka.Hao wanaume wanaostahili bikra wako wapi??
Sijaona kwenye jamii tunazoishi kwa sasa mtu anaheshimika sababu eti aliolewa yuko bikra. Mtu anaheshimika kwa mchango wake chanya kwenye jamii.Kwani wewe ulizaliwa bila bikra mkuu? Kama bado unayo, kaa na mamako umuulize atakupa maelezo. Au kama hauna mama basi kaa na dadako au shangazi yako au rafiki yako atakuepeza faida za bikra.
Lkn kama huna bikra maana yake malezi yako hayakuwa mazuri, na wewe mwenyewe utakuwa si mwanamke mwenye thamani kwa sasa.
Masta wangu ushawahi kutana na bikra??π€π€π
Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja.Ndio hapo nashangaa, ujitunze then unaangukia kwa aliyekitembeza hatari. Na akikuoa hataacha kuchepuka
Angalia whatsapp Kuna video nimekutumia...Masta wangu ushawahi kutana na bikra??π€π€π
Noumaaa Sana
Usizini inamlenga nani kama sio wote?Mwanaume kwa asili ni polygamy. Ndiyo maana hata kwenye zizi huwezi kukuta majike mawili halafu mabeberu 20. Au majogoo 10 halafu mtetea mmoja.
Kwahiyo ndiyo maana ktk jamii zetu mwanaume anayechepuka anaitwa kidume, lkn mwanamke anayechepuka anaitwa malaya.
Ktk amri 10 za Mungu, mojawapo inasema "usitamani mke wa jirani yako". Maana yake ni kwamba mwanaume kutamani wanawake imeruhusiwa isiookuwa asiwe wa mke wa jirani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani utafikiri izo bikira tunajitoa na vibunzi, kumbe wanaolalama ndo hao wanaotutoa,,mxiuuu