Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

Tuna hitaji elimu kubwa katika hili kuanzia chini kabisa. Hakiwezekani Watanzania wenzetu wa races hizo wanafanya vyema katika hili na kuvunja circle of poverty katika jamii yao Ila sisi hatutaki hiki kitu.
Kuna njia nyingi za kumuheshimisha mstaafu kaka, sasa fikiria chuki anayojenga kwa ku underperform si kujipakia matope kwenye mafanikio yaliyopita?.

Ninachojaribu kumaanisha ni kwamba Ukimchekea nyani utavuna mabua (Tafsiri hii methali kwa upana na linganisha hali ya maisha yetu afrika. Tunapoteza nguvu mali nyingi sana.)

Pia mfano mzuri ni Timu yenu. Nampa kongole GSM na Team yake walichokifanya kwenye upande wa Utawala (Administration). Rais CEO na makamu CEO wa mashirika, wadogo na wana njaa ya mafanikiona wanajua kuendesha mambo/mashirika kisasa.
 
Ni jambo jema kushirikiana katika kuanzisha biashara kama familia lakini changamoto kubwa kwenye hili ni jamii yetu ya kitanzania kuyakosa maarifa ya msingi katika uendeshaji wa biashara.
Wewe umetoka Jamii gani? Una biashara na Familia yako?
 
Tatizo la umaskini wa ki Africa ni vizuizi katika watu wengi kufikia fursa na ukosefu wa mazingira rafiki ya mafanikio.
Upo sahihi kabisa. Na muwekaji wa vikwazo mkubwa ni Serikali kupitia kundi lake la wahuni waitwao wasomi.
 
Wewe mwenyewe ni zombi tu hujielewei. Huna hizo hakili timamu.
 
Na vizuizi vinaanzia kwenye familia zetu kabisa kabla ya kufika mbali tuna mazoea na tamaduni nyingi za ajabu ambazo tunapaswa achana nazo moja hii ya kuanza kwenye zero na kuacha kuendeleza kile kidogo kilichopo hii ni tamaduni ya hovyo sana.
Sema vizuizi vipo kwenye famlia yako.
 
Kwenyu ndio mmelanizwa. Mmejaa walozi halafu unasingizia ya Afrika wote.
 
Ww huo mtazami waki umebadilisha? Ww umeajiri famikia yako una biashara au una ropoka
 
Kweli bila hivyo tuta endelea kuogelea kwenye umasikini na kuanza kuona wahindi, waarabu wachawi na wezi kumbe tatizo lina anzia kwetu wenyewe.
Ww ndio tatizo. Ww ndio mulozi. Mbona ww unaongelea tuta tuta tuta. Siema uta au nita, usituongelee. Ww muchawi mbaya saan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…