Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

Tuna hitaji elimu kubwa katika hili kuanzia chini kabisa. Hakiwezekani Watanzania wenzetu wa races hizo wanafanya vyema katika hili na kuvunja circle of poverty katika jamii yao Ila sisi hatutaki hiki kitu.
Kuna njia nyingi za kumuheshimisha mstaafu kaka, sasa fikiria chuki anayojenga kwa ku underperform si kujipakia matope kwenye mafanikio yaliyopita?.

Ninachojaribu kumaanisha ni kwamba Ukimchekea nyani utavuna mabua (Tafsiri hii methali kwa upana na linganisha hali ya maisha yetu afrika. Tunapoteza nguvu mali nyingi sana.)

Pia mfano mzuri ni Timu yenu. Nampa kongole GSM na Team yake walichokifanya kwenye upande wa Utawala (Administration). Rais CEO na makamu CEO wa mashirika, wadogo na wana njaa ya mafanikiona wanajua kuendesha mambo/mashirika kisasa.
 
Ni jambo jema kushirikiana katika kuanzisha biashara kama familia lakini changamoto kubwa kwenye hili ni jamii yetu ya kitanzania kuyakosa maarifa ya msingi katika uendeshaji wa biashara.
Wewe umetoka Jamii gani? Una biashara na Familia yako?
 
Tatizo la umaskini wa ki Africa ni vizuizi katika watu wengi kufikia fursa na ukosefu wa mazingira rafiki ya mafanikio.
Upo sahihi kabisa. Na muwekaji wa vikwazo mkubwa ni Serikali kupitia kundi lake la wahuni waitwao wasomi.
 
Na watoto wenyewe ndio hawa wanaovaa MILEGEZO, hata ukimuuliza MASWALI YA UFAHAMU hajui chochote.

Anajua tu SIMBA na YANGA na MAYELE. Kichwa kimejaa ukurutu.

Ukimpa biashara yako anaimaliza ndani ya mwaka mmoja. Anatumbua hela na kwenda kula na MADEM. Ati MADEM!! Na amevaa mlegezo.

Ukizaa hakikisha unazaa watoto wenye akili timamu. Ni ngumu sana kupata mtoto timamu. WENGI NI MAZOMBI.

Yale MACHANJO YALE na MADAWA UCHWARA YA UZAZI. Taifa linazalisha MAZOMBI wanaotembea wima.

Hawawezi kuhoji, hawawezi kuuliza, hawawezi kufikiri, wanachojua ni SIMBA na YANGA.
Wewe mwenyewe ni zombi tu hujielewei. Huna hizo hakili timamu.
 
Na vizuizi vinaanzia kwenye familia zetu kabisa kabla ya kufika mbali tuna mazoea na tamaduni nyingi za ajabu ambazo tunapaswa achana nazo moja hii ya kuanza kwenye zero na kuacha kuendeleza kile kidogo kilichopo hii ni tamaduni ya hovyo sana.
Sema vizuizi vipo kwenye famlia yako.
 
Kuna akina sisi ambao ni wazazi wa wazazi wetu! Yaani umezaliwa kwenye Lindi la umaskini umejikongoja kuweka mazingira sawa ya kuingiza kipato ila Kila ukijaribu kutuna kihela wanunue tofali zinapigwa juu kwa juu tena na baba mzazi wako. Mpaka unajiuliza hivi huyu ni mzazi kweli au Mimi ndio mzazi! Kweli Africa tuna laana.
Kwenyu ndio mmelanizwa. Mmejaa walozi halafu unasingizia ya Afrika wote.
 
Mkuu, hoja zako ni nzuri sana lakini mimi ninaamini katika kubadili mitazamo ya watu.

Watoto wako wanapaswa kufanana na wewe, sidhani kama unaweza kuwa na watoto wanne na kati yao wote wakawa wajinga/vilaza na wakajaa ukurutu vichwani. Na tunaposema biashara ya familia nzima hatumaanishi familia nzima inakuwa katika uongozi, wengine wanakuwa waajiriwa tu katika huo mradi.

Ni kwasababu sisi waafrika hasa watanzania maana hawa ndio ninawajua zaidi ni wabinafsi sana ndio maana hata ukitaka kuanzisha wazo la mradi wa familia utapingwa sana na wale ambao ndio wenye uwezo mkubwa kwenye familia. Ni kwasababu tunaona sisi tumemaliza na hao ndugu maskini tutaendelea kuwatupia vihela pale watakapohitaji. Ila swali la msingi ni tutawasaidia hadi lini?

Nina rafiki ambaye kwenye familia yake(kwao) yeye pekee ndio mwenye pesa nyingi, ndugu zake wote ni njaa kali na mara kwa mara yeye ndio kimbilio. Sasa huwa namuuliza utawapa misaada midogo midogo ndugu zako hadi lini? Kwanini usianzishe biashara ambayo utaisimamia na ukawaajiri ndugu zako wasio na kazi humo na watoto wao, ukianguka leo watamkimbilia nani?

Kwahiyo ni kubadili mtazamo tu, hata hao akina MO na Bakhresa sio wote kwenye familia wenye akili ya biashara, ndio maana MO ndio yupo mbele wengine huwasikii sana lakini huwezi kuwakuta na bahasha za kaki wakipeleka CV zako zikaguliwe.
Ww huo mtazami waki umebadilisha? Ww umeajiri famikia yako una biashara au una ropoka
 
Kweli bila hivyo tuta endelea kuogelea kwenye umasikini na kuanza kuona wahindi, waarabu wachawi na wezi kumbe tatizo lina anzia kwetu wenyewe.
Ww ndio tatizo. Ww ndio mulozi. Mbona ww unaongelea tuta tuta tuta. Siema uta au nita, usituongelee. Ww muchawi mbaya saan
 
Back
Top Bottom