DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
✅🙏🙏🙏Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
✅🙏🙏✅Rich Dad Poor Daddy kimenisaidia sana sana pamoja na The Richest Man in the Babbillon
Lakini siyo wote mkuu!Africans wabishi
Ni kweli mkuu, haifai kuiga mabaya.Mnajaza seva tu na matusi yenu.
Yaani twende kujifunza kujichukia na kuzodoana, unafiki na ukatili?
Kiuhalisia hakuna la kujifunza huko.
Tukajifunze wapi sasa?Mnajaza seva tu na matusi yenu.
Yaani twende kujifunza kujichukia na kuzodoana, unafiki na ukatili?
Kiuhalisia hakuna la kujifunza huko.
Absolutely.Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.kNi kweli mkuu, haifai kuiga mabaya.
Na mtoa mada naye hajashauri tujifunze mabaya ya Wazungu, bali yale yaliyowafanya watuzidi kwa mazuri kama kutengeneza kifaa kizuri cha mawasiliano kama hicho unachokitumia kuingia JF, n.k.
Kujifunza nini hicho ambacho hukijui?Tukajifunze wapi sasa?
Watakwambia ni Mabeberu huku wakiiba pesa za miradi iliyofadhiliwa na MabeberuTukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.
Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.
Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.
Sikiliza country music
Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money
Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell
Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Mambo yao ya kuiga mazuri ni yepi hayo? na hayo mabaya yao ni yepi? Tuwekee mifano?Absolutely.
Ni lazima tujifunze na kuiga mazuri yao yote, Yale ambayo tunaona kuwa ni mabaya basi tuwaachie wao wenyewe.
Ubaguzi upo hata sasa, ulikuwepo na utaendelea kuwepo hapa duniani, haukwepeki.Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.k
Sambamba, wazo kwamba mtu mweusi yupo inferior na mzungu ni superior haina mashiko.
Wewe unataka kuhalalisha ubaguzi na ukandamizaji?
Hebu nitajie hayo mazuri waliotuzidi?
Ikumbukwe Dunia hii uionavyo leo isingekuwq hivyo kama sio mchamgo ww mtu Mweusi. Mwaafrika to be precise. Ulaya na Marekani, kote huko kumeendelea kutoka kwenye migongo ya Waafrika!
Mkuu, kwanza tukubaliane kuwa hakuna mtu mweusi wala mweupe. Kwa minajili hiyo basi, tuna Wazungu na Waafrika.Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.k
Sambamba, wazo kwamba mtu mweusi yupo inferior na mzungu ni superior haina mashiko.
Wewe unataka kuhalalisha ubaguzi na ukandamizaji?
Hebu nitajie hayo mazuri waliotuzidi?
Ikumbukwe Dunia hii uionavyo leo isingekuwq hivyo kama sio mchamgo ww mtu Mweusi. Mwaafrika to be precise. Ulaya na Marekani, kote huko kumeendelea kutoka kwenye migongo ya Waafrika!
Nani huyo?Watakwambia ni Mabeberu huku wakiiba pesa za miradi iliyofadhiliwa na Mabeberu
TeknolojiaKujifunza nini hicho ambacho hukijui?
Kumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. AkemeweMkuu, kwanza tukubaliane kuwa hakuna mtu mweusi wala mweupe. Kwa minajili hiyo basi, tuna Wazungu na Waafrika.
Kwani ni uongo?Sasa tuingie kwenye hoja!
Unasema Ulaya na Marekani kuendelea kwa migongo ya Waafrika?
Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?Kwa nini Waafrika hawajaoaendeleza kwao?
Ndio ingelikuwa na maendeleo.Afrika Kusini imeendelea zaidi kuzidi nchi nyingi za Kiafrika. Unafikiri isingelikiwa Makaburu ingelikuwa na hayo maendeleo?